menya inganyi
Senior Member
- Aug 10, 2016
- 169
- 109
Mnawaza kuwa na mahusiano na mwanamke mwanaume kipindi upo njema ukawa unamsaidia sana mpenzi wako kwa kila kitu mahitaji yote. Inawezekana mwanaume ukayumba kidogo ukawa hata huna kazi na kipindi hicho mwanamke wako akawa na kazi.
Sasa ukipata tatizo la kifedha ukamwambia ukakusaidia ila akawa ananungunika asitoe kwa moyo mmoja hata kama hatakuambia akamwambia shoga yake. Pia kipindi upo njema mapenzi huwa moto moto ila kama haupo njema mapenzi hupungua sana.
Hii inachangiwa na nini? Je ni wa binafsi au nini chanzo kwa hawa viumbe?