Wanaume wenzangu! Hivi hii ni kawaida?

mtutuwajambazi

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
520
310
Habari!

Poleni na mihangaiko na shughuli za kusaka riziki.

Leo nna kitu kimenishtusha sana. Hii imenitokea leo katikati ya tendo na girlfriend wangu. Na imenishtusha sana.

Katikati ya tendo askari kagoma kusimama ghafla. Achana na ile ambayo inapungua gradually labda baada ya ejaculation, sasa mimi ilikuwa katikati ya zile back & forth movement (wakati wa penetration) yenyewe imedondoka mazima. Kikawaida huenda round hadi nne ila leo ya kwenye purukushani ya kuitafuta ya pili mambo yakawa si mambo.

Nimejaribu kupitia mitandaoni na kusoma forums na mambo kem kem kuhusiana na penile tunescence nikakutana na term wameiita erection dsyfunction/ impotence. Wameeleza mengi wakasema kwamba erection huwa triggered na mengi ikiwamo psychological, neural, vascular na physiological factors.

Wakasema kwamba magonjwa kama kisukari, shinikizo la damu, madawa kama madawa ya bp... Ila vyote hivi mimi sina. Wakagusa sector nyeti ya pombe na sigara. Nimekuwa mvutaji for almost 4 years, nimequit 19th of may mwaka huu na siku zote sijawahi kukumbwa na shida hii. Kuhusu pombe ni mtumiaji mzuri ila nina wiki sijakusa kilevi cha aina yoyote. Shida ni nini?

Nikaanza kuspeculate labda ni maji nnayokunywa juzi nilianza kama cleansing therapy flani hivi ya kunywa a glass of water kila baada ya 45min to an hour. Ili kutima 12 to 18 glasses of water a day. Wanasema inasaidia weight loss. Nikahisi labda inapooza temperature ya mwili labda ina uhusiano na erection.

Psychologically naona i was prepared to have sex afterall shes my girlfriend i am always aroused nikiwa nae plus nilikuwa na sex drive nzuri tu.

Mpaka sasa sijapata jibu kamili. Je ni kawaida hii kutokea kwa wanaume? Na kama umewahi kumbwa na hii situation naomba ufafanuzi.

Shukran.
 
Tafuta vitu vya hamu
1472499199505.jpg
 
Ni kawaida sana hasa kama mawazo yako yalihama na kwenda kwingine
ulichotakiwa kufanya ni kuto panic
ungeendelea tu na story...baadae ungerudi tu kawaida
Nashukuru kwa mchango boss. Kunifariji kwa kusema kawaida ila nilijaribu hvyo nikaona mambo hayaendi still.
 
Back
Top Bottom