"My confession"

"My confession"

Playboy

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
1,170
Reaction score
945
Salamu wa MMU leo inabidi nikiri na kutubu kabisa labda hali hii itaweza badilika. Story ni hivi wakati nipo chuo fulani jijini Dar, mwaka wa pili nilitokea kumpenda binti mmoja aliyekuwa mwaka wa kwanza, binti huyu alikuwa akitokea mkoani Mbeya, kama mnavyojua watoto wakinyakyusa ukikuta kajaliwa ni kweli kabarikiwa.

For the first time nakutana nae ilikuwa kwenye orientation, nikiwa kama katibu wa club moja ya mazingira chuoni hapo basi kama wasemavyo wazungu "love at a first sight"ndicho kilichonitokea kwa binti huyu wa kinyakyusa.. Baada ya kukubali kuwa kwenye club hiyo tukabadilishana mawasiliano. Kwa kweli sikutaka kupoteza mda nikaanza kumchombeza kama ilivyo kawaida yetu wanaume. Siku zikaenda nikazidi kumuweka karibu, mwisho wa siku "hakuna mkate mgumu mbele ya chai"mtoto akaingia box la penati japo kwa mbinde ilinichukua kama miezi mitatu.

Japo niliamua kujiingiza kwenye mapenzi na huyu binti wa kinyakyusa nilikuwa nina demu ambaye tulikuwa nae tangu mwaka wa kwanza, huyu nilifahamiana nae mwaka mmoja nyuma kabla ya kuanza chuo huyu tulikutana nae katika hifathi ya Serengeti wakati nipo advanced level tulipo kuwa na ziara ya kidarasa na wao walikuwa nao wakekuja kutalii huyu alikuwa ni binti wa kijaluo , black beauty flani ivi na umbo la wastani "english figure"...

Baada ya kufanikiwa kumpata mtoto huyu wa kinyakyusa kama mjuavyo "ukiweka pipi mbili mdomoni lazima moja utaitafuna haraka ili ubaki na moja uuendelee kuimung'unya", kilichotokea mjaluo nikamtafuna mnyakyusa akabaki wa kumung'unya.

Siku zikaenda mtoto wa kinyakyusa akanipenda sanaa tena sana na nikawa namsaidia mambo kazaa hapo chuoni, akawa amejiunga na chama cha wanacasfeta hapo chuoni , binti kiukweli alikuwa anapenda dini na ni muimbaji mzuri, na ilinibadilisha hata mimi nikawa muuzuriaji mkubwa wa ibada , tofauti na yule mjaluo ambaye yy huniletea rating za club ama bash kama sio bi'dei party za washkaji.

Kwa kuhofia kuchanganya madesa mtoto wa kinyakyusa nikawa sijawai mpeleka ninapo kaa, coz kule yule mjaluo anapajua na huwa anakuja mda wowote na hata kulala, so nilimdanganya mnyakyusa kuwa nakaa na mate wenzangu ndani ya hostel zilizopo ndani ya campus ya chuo. So huwa tukitaka kukaa faragha huwaomba washikaji funguo, naenda nae getto, ili kumwaminisha na mimi huwa nakaa hapo washikaji huweka picha yangu ukutani, na huwa anaisifia kweli, ila tukifika room tutafanya yote ila, ikulu sigusi nitaishia kupapasa pichu tu, japo anakuwa amelowa hasa.

Huku nyuma mjaluo akawa amehisi kitu, ila kwa kuwa nilikuwa nacheza kama pele kama sio Neymar, angejua mapema.. Siku moja jumapili nakumbuka mnyakyusa akanipigia simu anataka tuonane na tuongee kwa kirefu kuhusu hatima ya mahusiano yetu. Basi bila hiyana mimi nikajiongeza nikamwambia unaonaje maongezi yetu tukafanyie kijiji beach kwa wakazi wa dar mtakuwa mnapajua , maeneo ya kigamboni, basi akakubali hao mguu mosi mguu pili.

Akanieleza mengi sana kuhusu kwao na yeye kiujumla na mimi nikamueleza yangu japo uwongo ulikuwa 85%kuliko ukweli. KIKUBWA ALICHONIELEZA NI KUWA YEYE BADO NI "MAMA WA YESU" Akuna mwanamme aliyewai kuiona ikulu yake na ametafakari kwa moyo wake akaona mimi ndiye mwanaume ninayestahili zawadi hiyo. Baasi kwa muhemuko na tamaa ya kuona bikra mbele yangu ukizingatia sijawai kutana nayo zaidi ya miaka mitano iliyopita nikazidisha uwongo mara dufu juu yake kuhusu penzi letu.

Maongezi yaliisha tukarudi chuoni huku akiamini mm ninaishi campus, kumbe sio. Nilizidisha kumjali lakini target ilikuwa nizidi kumwaminisha kuwa namjali, ilikuwa kila jumamosi jioni lazima nimkumbushie swala la ibada kesho jumapili, kwa kweli alinipenda sana tena sanaaa na akahaidi kufanya chochote juu yangu. Huku pembeni mjaluo huwa tunakutana mara mojamoja yeye huwa tunakutana getoo.

Nakumbuka ilikuwa likizo ya pasaka, mjaluo yeye alienda kwao na mnyakyusa alienda kwa ndugu yake anaishi maeneo ya karakata airport. Kwa kujifanya nimepata hela nikampa taarifa mnyaksusa kuwa nimeamua kupanga getoo ili niweze kuwa na uhuru na yeye, so ilinibidi kupiga usafi wa haja geto nikanunua mapazia mapya, carpet jipya na mashuka ili akifika kidogo aamini nimeamia.

Siku iyo ilikuwa jumatatu ya pasaka basi akaaga kwa ndugu zake anarudi chuo kumbe ilikuwa ni gia ya kuja ninapo kaa ili alale apo na mimi nikaapa leo hata iweje lazima nikate utepe. Basi nikamuelekeza nikaenda mpokea kituoni tukapitia mazaga gengeni , kufika geti kweli alishangaa kuona geto lina vitu karibia vyote akaamini kweli nilijipanga kumbee holaa , mtoto akapika kitu cha pilau kuku, yaani ilikuwa kila aniangaliapo nilikuwa namchezesha na lugha ya mwili,

ikafika jioni, kama kawaida nikaenda kuoga, alivyorudi nikamuomba akaoge japo alikuwa anasita kidogo kuvua nguo mbele yangu.
Alivyotoka tu nikatandika kitanda fresh nikawa namsubiri huku nikijiapiza hapa leo hqchomoi, alivyorudi kutoka kuoga akawa anajipaka mafuta, nikamuomba nimsaidie kumpaka, hapo ndipo alipo kosea, nikamuomba nimpake akiwa kitandani, kwa kishingo upande akapanda nikamuomba atoe kanga ili niiweze fanya ninachotaka kwa aibu huku kafunika uso nikaanza manjonjo, kwa kama dakika 15 hivi nilipomaliza nikamwita jina lake alikuwa kimya,

kwa kweli nilijua amezizidiwa hasa sikutaka kufanya pupa mbele ya binti huyu, kwa ujasiri nikaanza kutumia ulimi niliopewa kujua utamu na uchungu wa kile kipitacho mdomoni kwa kuwa swala la kuzama chumvini sio kesi kwangu, nikawa natumia ujuzi wangu sasa, ile naingiza ulimi chumvini aiseeeehhhh………….. To be continue……..

it's a true story leo nisiwachoshe sana nitajitahidi kuelezea yote japo mimi sio mwandishi mzuri na mwishoni utajua why leo nimeamua niconfess .
 
fanya fasta uje na muendelezo aisee true story chache humu nyengine haziish so usje kimbia
 
Hakuna confession hapo. Unatueleza hadi mambo yako ya chumbani?
 
Back
Top Bottom