Tungeoana ndugu kwa ndugu ndoa zingedumu.

Tungeoana ndugu kwa ndugu ndoa zingedumu.

Kitalolo.

Senior Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
189
Reaction score
221
Hivi kwanini waanzilishi wa haya mambo ya ndoa waliona ni bora kuona koo kwa koo au zaidi ya hapo na sio ndugu kwa ndugu, pengine ndoa zingedumu maana maisha ya ndoa ya sasa ni zaidi ya vita pengine ungemuoa kaka/dada yako angekua na kahuruma flani.

Nawasilisha.

Ni akili za mke wangu siyo zangu na wala hatujachanganya!!
 
Ndio maana waarabu hawataki kidudumtu kuwaingilia binamu na binamu kwa wao safi!!
 
Back
Top Bottom