Aisee nimefanya kautafiti kidogo hapa nikagundua wasichana au wanawake wengi wanaotongozwa kwenye giza huishia kuchezewa tu.
Siku zote katika ulimwengu wa vitu visivyoo onekana ,giza husimama...
Amani iwe nanyi wana- JF nyote,
Katika maisha yangu nilikuwa na ndoto za kuoa mapema ili nikabiliane na jukumu la malezi nikiwa bado kijana mwenye nguvu.
Nilipenda kufunga ndoa nikiwa na umri wa...
Katika suala ambalo wanaume wengi tunalokutana nalo mara ya kwanza unapomtokea mwanamke ni hili. Ukimuuliza je ulisha-do na wanaume wangapi? Kiukweli hawezi kukuambia idadi zaidi ya kukuambia ni...
Jamani najiuliza hili swali sipati majibu, unakuta umemuacha mwanaume alafu anaanza kukufatilia mawasiliano yako kila unachofanya anapost kwenye mitandao ya kijamiii nashangaa sana mtu...
Nimejaribu kufanya utafiti kwa kuzungumza na marafiki zangu kumi kwa kuwauliza je waliwahikupanga kuwa na wenzi wao walio nao kwa sasa?
Matokeo yanishangaza sana zaidi ya nusu yao walisema...
Wakuu nawasalimu,
Mimi ni mwanaume ambaye nimekata tamaa. Maisha ya kuwa single yamenichosha na kila nikitafuta mpenzi hakai sana bali ananiacha na kwenda zako. Nipo vizuri kustahili kupata...
Bila shaka mu bukheri wa afya,
Kuna jamaa yangu ameniomba sana niishi nae ktka nyumba ya kupanga ambayo anaishi yeye na mkewe na mtoto wao mmoja.
Kisa kiko hivi, hiyo nyumba alikuwa anaishi na...
Dada huyu amezalishwa na jamaa watoto wawili, wa kwanza ana miaka 3 wapili mwaka 1, walikua na ahadi ya kuoana, jamaa ni Dr (Ph.D), dada ni accountant.
Wamekuwa kwenye uhusiano for 5years now...
Habari zenu wanaJF,
Hivi mawifi wana nini lakini? Natarajia kujitosa kwenye ndoa, lakini wifi ananiletea vituko mapema kabla ya kufika huko. Mama mkwe wangu ananipenda lakini wifi yangu maneno...
Wapendwa wa MMU nawasalimu with Love,
Katika ulimwengu wa utongozaji mambo yamebadilika sasa to the extent hata akina dada/mama huwa tunajilipua once in a while. Ila ukweli unabaki bado kwa...
Habari zenu wadau,
Leo ninapenda kuzungumza kuhusu kupeana ahadi wakati tunapokuwa kwenye mahusiano. Utasikia ooh! baby nitakuoa, mwingine utamsikia akisema wewe ni mwanaume/ mwanamke wa maisha...
Habari za jioni,
Nimekuwa inspired na post ya mshana jr kuhusu vijana ndio maana na mimi nataka kushare na nyinyi story ya maisha yangu.
Najua kuna wengi watatukana ila naomba mnisamehe pale...
Ni mkosi mkubwa sana kwa msichana ambaye hajaolewa kushuhudia kupatwa kwa jua, elimu ya nyota inabainisha waziwazi kwamba kupata kwa jua ni tendo linaloendana na mwezi kupita kati ya dunia na...
Habari zenu wakuu
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada,nakumbuka ilikua mwaka 2005 nikiwa form 2,hua inafahamika form 2 vijana wengi wakike nakiume wanakua wanachangamka,,mwenye...
1.kunywa maji mengi walau lita3
2.kaa mbali naaliye kuuzi walau mita 300
3.kula chakula unachokipenda
4.imba nyimbo za upendo
5.kunywa juice ya Pili pili na limao walau glass 3
Poleni na majukumu wakuu,
Samahani kwa thread ndefu, lakini lengo ni unielewe.
Kwa kifupi, kuna msichana ambaye ninaishi naye, namaanisha tumepanga nyumba moja, ingawa yeye ndio alotangulia...
Endelea…
Kuna mdada nilimkopesha pesa kwa ahadi kuwa baada ya wiki moja atanirejeshea pesa zangu.
Baada ya wiki moja nampigia simu hapokei simu zangu, nimempigia zaidi ya mara kumi (10) bila ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.