Habari za humu wana JF,
Kuna kitu kinaniumiza kichwa. Je ni kweli kukaa na mpenzi wako kila wakati kunaathiri mahusiano na kupelekea kuonana wa kawaida, nikimaanisha asubuhi mnaamka wote...
Hello JF,
Nifanyeje ili niwe na furaha sababu nowdays nimekua sina furaha then muda mwingi nina stress nifanyeje kuondokana na hii hali.
Ushauri please!
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28. Kazi yangu ni mfanyabiashara wa kawaida. Naishi DSM. Nahitaji mwanamke mwenye umri tajwa hapo juu.
Mwanzo nilikuja na...
Hello,
Natumaini wote mko salama kabisa, husika na kichwa cha habari hapo juu
Naitwa Mohamed, naishi Ilala Ukonga, umri miaka 29. Elimu yangu ni ya shahada ya kwanza, nafanya kazi katika kampuni...
Katika familia yetu mimi ni wa mwisho na ni mtoto wa nje ya ndoa. Wazazi wote wamefariki. Tukiwa katika pilikapilika za mambo ya urithi mambo mengi yalitokea, kuna dada yangu mmoja alithubutu...
Moja kwa Moja kwenye mada,
Hivi hawa Wairaq ni watanzania kweli? Mbona wazuri hivi. Tangu nihamie kufundisha kwenye shule ya wasichana maarufu sana hapa nchini, nimepata kuwaona na kuwafundisha...
Katika harakati za kutafuta kazi nilibahatika kufika ofisi moja maeneo ya Mwenge (Dar es salaam) kwangu ilikua faraja kubwa sababu kiukweli nilikua nahangaika sana na hali ya ugumu wa maisha na...
Wanawake wamepewa uwezo wa kuwaelewa wanaume tena kwa haraka hata pale mnapokutana kwa Mara ya kwanza tuu! Kabla hujaonyesha au kutamka neno, mwanamke huwa tayari amejua na huwa anasubiria muda...
Wanaume wanapooa huwa wanawapenda wake zao zao kiukweli ndio maana huwa wanawahudumia kwa kila hali. Lakini ikitokea mwanaume akichepuka ni kwa ajili ya ngono tu kisha anarudisha upendo kwa mkewe...
*MAMA MKWE* [emoji101]
_Ilikuwa wakati wa mchana ambapo mume alirejea nyumbani akiwa na habari mbaya._
*MUME:* _Mpenzi, nimepigiwa simu: Mama hajisikii vizuri. Tunaweza kwenda kumnunulia baadhi...
Nimebahatika kuishi North America kwa zaidi ya miongo 2,nimeshuhudia wakristo wakiachana leo na kuolewa/kuoa kesho yake hata mara kumi. Swali ni kua hao si wakristo? Kwani Huku Tanzania pekee...
Maneno ya hasira na dharau kwa mwenza wangu yana nipa wakati mgumu haeleweki kama bado kiakili yupo na mimi au ana mbadala tayari, nipo njiapanda nifanyeje kama yamewafika.
Ushauri tafadhali.
Habari zenu,
Mimi ni kijana wa miaka 22 nina tatizo moja, am so poor in socialization, nikienda mahali nakua mkimya sana hadi niwazoee sana ndo nitaanza kuchangamka, tatizo hili limefanya baadhi...
Artist: MWANA FA
Song: DUME SURUALI
Hudat hudat hii ni salam na ufahamu
Kama unauza mapenzi sio kwa binam
Hakuna haja ya kusubiri hii ni hukumu
Hakuna kitu utapata utangoja kama askari wa zamu...
Wakuu naomba mchango wenu wa mawazo kwani nataka kufanya maamuzi nadhani muhimu sana.
Dada mtu tunasoma nae mwaka wa tatu sasa na kwa kweli kwa maoni yangu dada kakamilika sana yaani vitu vyote...
Leo nimefikiria, huu mchezo wa kumchezea simba sharubu tunaoufanya hivi siku ikitokea tumeng'atwa inakuwaje. Ningependa kujua position ya jinsia zote mbili yaani me na ke. Na walio wahi kufikwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.