Wanaume wa Bunda walalama kunyimwa unyumba

Wanaume wa Bunda walalama kunyimwa unyumba

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
15078645_735221773300362_2445280715323222343_n.jpg
 
waende kenya uko wanawake wanalalama wakenya hawawezi shughuli
 
Hilo koti ni photo shop au ni kweli kakosea kufunga vifungo au kifungo kimoja kimekatika kwahiyo kafunga cha chini yake mkuu Ushimen ??
 
Kuchepuka mchepuke pia matunzo usitoe sasa unyumba wa nini? Mama kajihangaikia mwenyewe kachoka sasa akusaidie nini jamani kale ulikopeleka matumizi, Mara mpooo [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Kwani ni lazima awe na mwanamke mmoja, bora utafute mchepuko kama mkanda ndo huo!
 
Back
Top Bottom