Ni vigumu sana kumwelewa mwanamke!

Ni vigumu sana kumwelewa mwanamke!

mzee wa kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2012
Posts
947
Reaction score
690
Wanawake wamepewa uwezo wa kuwaelewa wanaume tena kwa haraka hata pale mnapokutana kwa Mara ya kwanza tuu! Kabla hujaonyesha au kutamka neno, mwanamke huwa tayari amejua na huwa anasubiria muda ufike ujilete mwenyewe.

Mwanamke mwenye miaka 20 huwaza na kufanya sawa na mwanamume wa miaka 40 au zaidi! Ni ajabu kwamba dunia inawaona wanawake kama viumbe wanyonge na wasio na akili, kinyume chake ndio ukweli.

Kuna wakati wanawake hufanya maamuzi magumu yasiyo na maelezo kwetu wanaume! Fikiri kuna wakati mwanamke huamua kuolewa sii kwa sababu amempenda mwanamume bali kwa kubeba jukumu kubwa kijamii.

Tuna mifano lukuki hata kwenye biblia ambapo Ester aliolewa na mfamle Astanasta sii kwakumpenda Bali kwa ajili ya ukombozi wa Taifa lake yaani wayahudi.

Jiulize ni wanawake wangapi ambao wanaishi kwenye ndoa lkn kile kilichomleta ktk ndoa ni jukumu zito kama kuiokoa familia yao iliyo kwenye shida nk.

Juzi tuu nimemtembelea mwanamke ambaye nilisoma naye shule ya msingi miaka ya 1980, tulipendana sana na hata tulipomaliza form four bado tulikuwa pamoja! Wazazi wake hali zao ki!maisha ilikuwa mbaya na hawakunipenda kwakuwa na Mimi ni mlala hoi. Binti huyu baadaye aliolewa na MTU mwingine mwenye uwezo japo moyo wake upo kwangu hadi Leo.

Ninachoweza kusema nikwamba maisha aliyo nayo Leo nisingeweza kumpa, kwakuolewa na kibosile yule amepata kila kitu na wazazi wanaishi vema!

Naanza kuwaelewa wanawake kwa mbali!

Je wewe unawaelewa wanawake vema?

Tujuze!!
 
Ah wapi....hakuna mwanamke mwenye uwezo wa kunielewa mimi.

Chochote atakachokielewa juu yangu ni kwamba nimemrahisishia tu hiyo kazi kwa makusudi.

Nikitaka asinielewe pia naweza kumwingiza mkenge akadhani ananielewa kumbe wapi.

That's the genius of me.
 
Nikweli mwanamke anaweza kunusa kuwa una pesa kwa kukuangalia kwa macho tu, zaidi na ajabu anaweza kunusa kwa kukuangalia akajua kuwa huko mbeleni utajakuwa na pesa hata kama wakati huo wewe ni wakawaida sana.
 
Wanawake wamepewa uwezo wa kuwaelewa wanaume tena kwa haraka hata pale mnapokutana kwa Mara ya kwanza tuu! Kabla hujaonyesha au kutamka neno, mwanamke huwa tayari amejua na huwa anasubiria muda ufike ujilete mwenyewe.

Mwanamke mwenye miaka 20 huwaza na kufanya sawa na mwanamume wa miaka 40 au zaidi! Ni ajabu kwamba dunia inawaona wanawake kama viumbe wanyonge na wasio na akili, kinyume chake ndio ukweli.

Kuna wakati wanawake hufanya maamuzi magumu yasiyo na maelezo kwetu wanaume! Fikiri kuna wakati mwanamke huamua kuolewa sii kwa sababu amempenda mwanamume bali kwa kubeba jukumu kubwa kijamii.

Tuna mifano lukuki hata kwenye biblia ambapo Ester aliolewa na mfamle Astanasta sii kwakumpenda Bali kwa ajili ya ukombozi wa Taifa lake yaani wayahudi.

Jiulize ni wanawake wangapi ambao wanaishi kwenye ndoa lkn kile kilichomleta ktk ndoa ni jukumu zito kama kuiokoa familia yao iliyo kwenye shida nk.

Juzi tuu nimemtembelea mwanamke ambaye nilisoma naye shule ya msingi miaka ya 1980, tulipendana sana na hata tulipomaliza form four bado tulikuwa pamoja! Wazazi wake hali zao ki!maisha ilikuwa mbaya na hawakunipenda kwakuwa na Mimi ni mlala hoi. Binti huyu baadaye aliolewa na MTU mwingine mwenye uwezo japo moyo wake upo kwangu hadi Leo.

Ninachoweza kusema nikwamba maisha aliyo nayo Leo nisingeweza kumpa, kwakuolewa na kibosile yule amepata kila kitu na wazazi wanaishi vema!

Naanza kuwaelewa wanawake kwa mbali!

Je wewe unawaelewa wanawake vema?

Tujuze!!
Naam hii thread si ya kijiwe..lakini nilipata kuisikia katika kijiwe cha mti mawazo
 
Wanaume hufikiria kitu kimoja tu kichwani mwao,
Thats why ni rahisi kuwaelewa

but akilio ya mwanamke hufikiria hadi jinsi ya kupinga mizinga

hapo ndo ushindi unapopatikana

The rotten generation
 
Wanawake wamepewa uwezo wa kuwaelewa wanaume tena kwa haraka hata pale mnapokutana kwa Mara ya kwanza tuu! Kabla hujaonyesha au kutamka neno, mwanamke huwa tayari amejua na huwa anasubiria muda ufike ujilete mwenyewe.

Mwanamke mwenye miaka 20 huwaza na kufanya sawa na mwanamume wa miaka 40 au zaidi! Ni ajabu kwamba dunia inawaona wanawake kama viumbe wanyonge na wasio na akili, kinyume chake ndio ukweli.

Kuna wakati wanawake hufanya maamuzi magumu yasiyo na maelezo kwetu wanaume! Fikiri kuna wakati mwanamke huamua kuolewa sii kwa sababu amempenda mwanamume bali kwa kubeba jukumu kubwa kijamii.

Tuna mifano lukuki hata kwenye biblia ambapo Ester aliolewa na mfamle Astanasta sii kwakumpenda Bali kwa ajili ya ukombozi wa Taifa lake yaani wayahudi.

Jiulize ni wanawake wangapi ambao wanaishi kwenye ndoa lkn kile kilichomleta ktk ndoa ni jukumu zito kama kuiokoa familia yao iliyo kwenye shida nk.

Juzi tuu nimemtembelea mwanamke ambaye nilisoma naye shule ya msingi miaka ya 1980, tulipendana sana na hata tulipomaliza form four bado tulikuwa pamoja! Wazazi wake hali zao ki!maisha ilikuwa mbaya na hawakunipenda kwakuwa na Mimi ni mlala hoi. Binti huyu baadaye aliolewa na MTU mwingine mwenye uwezo japo moyo wake upo kwangu hadi Leo.

Ninachoweza kusema nikwamba maisha aliyo nayo Leo nisingeweza kumpa, kwakuolewa na kibosile yule amepata kila kitu na wazazi wanaishi vema!

Naanza kuwaelewa wanawake kwa mbali!

Je wewe unawaelewa wanawake vema?

Tujuze!!
Hahahahah yani jamaa umeandika bonge La gazeti lisilokua na maana Ata kidogo
 
We Umechanganyikiwa mkuu.
Mungu alipomuumba Mwanaume alimpa yale yote yaliyomfanya awe Mfano wake(Mungu), Hii ni pamoja na nguvu, akili, ustadi,n.k. Hata aliposema mwanaume atamtawala mwanamke hakukurupuka bali aliangalia character alizonazo Adamu katika kumtawala mwanamke. Kumtawala mtu huhitaji mambo makuu mawili, mosi, kuwa na nguvu, pili, akili ya kumtawala.

Sasa sijui wewe haya unayatolea wapi, ndivyo mnavyowadanganya wadada wa watu masikini.

Siku Kuku jike akiwika ndipo mwanamke atakuwa na akili kama mwanaume.
 
Endelea kujidanganya na kujifariji[emoji12] [emoji12] [emoji12] , kasome vzr kitabu cha Ester. Alilazimika kwa kushawishiwa, haikuwa hiari yake. Mbona hauwasifii wanaume wanaoamua kuiba ama kura rushwa kwa ajili ya familia ama hawara zao?
Ingekuwa wanawake wanauwezo huo wa kuwasoma wanaume wasingekuwa wanalalamikia wanaume, wasingezalishwa bila kuolewa ama wasingekuwa wanasema m/ume anamjua m/ke atakayemuoa lakini m/ke hamjui m/ume atakayemuoa.
Haiwezekani Mungu akamfanya kiumbe mwelevu zaidi kuwa msaidizi badala ya kiongozi

A real man MUST, I repeat, MUST, be unpredictable. This is the number 1 rule.

Mwenzako kachanganyikiwa hapo.

Mwanamke anatumia:-
Hisia 66%
akili 24%
Nguvu 10%

wakati mwanaume Halisi hutumia.
Hisia 10%
Nguvu 50%
Akili 40%.

Mwanaume huongozwa na ubongo(akili), wakati mwanamke huongozwa na moyo(hisia)

"Moyo ni mdanganyifu nao unaugonjwa wa kufisha nani anaweza kuujua"
 
Endelea kujidanganya na kujifariji[emoji12] [emoji12] [emoji12] , kasome vzr kitabu cha Ester. Alilazimika kwa kushawishiwa, haikuwa hiari yake. Mbona hauwasifii wanaume wanaoamua kuiba ama kura rushwa kwa ajili ya familia ama hawara zao?
Ingekuwa wanawake wanauwezo huo wa kuwasoma wanaume wasingekuwa wanalalamikia wanaume, wasingezalishwa bila kuolewa ama wasingekuwa wanasema m/ume anamjua m/ke atakayemuoa lakini m/ke hamjui m/ume atakayemuoa.
Haiwezekani Mungu akamfanya kiumbe mwelevu zaidi kuwa msaidizi badala ya kiongozi
Bado hujalijua kiumbe mwanamke

Mkuu umechanganyikiwa.

We ndio akili yako ndogo inashindwa kuwaelewa.
Wanawake huhitaji wanaume wenye akili kuwaelewa sio wanaume majina.

Kama mwanaume hajielewi atamuelewaje mwanamke?
Ukijielewa huwezi ongea hii pumba hapa.

We ni Me au ke??
 
Yaani mtoa mada ana matatizo! Au anazidiwa akili/maarifa na mwanamke ndio kadhani wotee...kwanza unaongelea wanawake wa sayari gani?
 
Huu msemo huwa siuelewi. Yaani ni Vigumu kumwelewa mwanamke Kivipi? Mahitaji yake? Akili zake? Tabia zake?

Kwqngu naona ni Vigumu kumwelewa binadamu kwa ujumla.
 
Endelea kujidanganya na kujifariji[emoji12] [emoji12] [emoji12] , kasome vzr kitabu cha Ester. Alilazimika kwa kushawishiwa, haikuwa hiari yake. Mbona hauwasifii wanaume wanaoamua kuiba ama kura rushwa kwa ajili ya familia ama hawara zao?
Ingekuwa wanawake wanauwezo huo wa kuwasoma wanaume wasingekuwa wanalalamikia wanaume, wasingezalishwa bila kuolewa ama wasingekuwa wanasema m/ume anamjua m/ke atakayemuoa lakini m/ke hamjui m/ume atakayemuoa.
Haiwezekani Mungu akamfanya kiumbe mwelevu zaidi kuwa msaidizi badala ya kiongozi
Hivi kumbe mwanamke hamjui mwanaume atakae muoa eeh!!

Nimepapenda hapo [emoji121]
 
Huu msemo huwa siuelewi. Yaani ni Vigumu kumwelewa mwanamke Kivipi? Mahitaji yake? Akili zake? Tabia zake?

Kwqngu naona ni Vigumu kumwelewa binadamu kwa ujumla.
Ni kweli lkn mwanamke ni more complicated creature!
 
Back
Top Bottom