Wanaume wa Bunda Walalama Kunyimwa

Wanaume wa Bunda Walalama Kunyimwa

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
15078645_735221773300362_2445280715323222343_n.jpg
 
ha haahha naomba muweke list walioko jf nashidana hiyo list
 
Kumbe ujanja nje tu, wakifika ndani wanapiga magoti.
 
Hao watakuwa wavulana,...... Mwanaume huwezi nyimwa.
 
Sasa si wawaache wakaoe wasukuma mwanza au kahama?
 
Yaani nibaniwe na mke niliemuoa kwa mahali kabisa?huyo atakuwa anatafuta matatizo
 
watu wa mikoani bhana hasa huko lake zone wanapenda sana kutushambulia sisi wa dar yao yanawashinda pumbavu njoeni dar huku mupate raha watoto wazuri
 
Wamezidi maringo kama watoto wa kike, acha wanawake wao wawakomeshe.
 
Back
Top Bottom