Sadock Kabuko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2013
- 1,167
- 1,079
Wakuu,
Naombeni ushauri,
KARIBU KWA USHAURI WENU
Naombeni ushauri,
KARIBU KWA USHAURI WENU
AiseeeeHakupendi
Asante kwa ushauriSiku moja umuache kweli
Mkuu dushe tenaSiku atakapolikata hilo dushe utajua vizuri nini alikuwa ana maanisha.
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Waswahili walisema akufukuzae hakwambii toka....sasa we ushaambiwa toka..huoni kama unabahati???sasa unangoja ni ni?Wakuu naombeni ushauri nimekuwa kwenye mahusiano sasa yatapata miezi 7 nimekuwa sielewi huyu maana yake nini kila nikikorofishana nae hata kwa vitu vidogo anadai tuachane nashindwa kumuelewa kabisa yaani kama kweli ananipenda au la

sawa mkuuSiku moja mkikorofishana akakubipu kuachana, wewe bwaga kweli na usirudi. Kwa kifupi ni kuwa hakupendi na anakuona unaforce huo uhusiano ilhali yeye anadeserve mwenye hadhi zaidi yako. Period!
nimekomaAcha kujishusha wewe,kusoma hujui hatab picha..
Aiseeee umejibu vyema,,muhusika acha kushangaaaa sasa maneno umeambiwa...huelewi...picha ndo utaielewa???Waswahili walisema akufukuzae hakwambii toka....sasa we ushaambiwa toka..huoni kama unabahati???sasa unangoja ni ni?