Leo nimefikiria, huu mchezo wa kumchezea simba sharubu tunaoufanya hivi siku ikitokea tumeng'atwa inakuwaje. Ningependa kujua position ya jinsia zote mbili yaani me na ke. Na walio wahi kufikwa na zahama hili wali move on vipi?
Ok wewe mwanamke unayechepuka na mume wa mtu, hivi siku ikitokea umenaswa na mumeo ukaachika utafanya nini?
Na wewe mwanaume ambae unachepuka na mke wa mtu, ikitokea siku amedakwa na mumewe akaachika utamsaidiaje?
Please let us be honest.