Wana jukwaa Salaam!
Wazungu bwana, baadhi yao ni watu wa ajabu sana.Hawajui kudanganya na hawana uvumilivu mahala unapohitajika.
Kuwa model uitwe 'Lovely sweetheart', kuwa bonge uitwe '' Fat and...
Habari zenu wadau, bila shaka kuuliza si ujinga naombeni mnijuze.
Hivi kuna uhusiano wowote kati ya ndoto nyevu na mambo ya kijini(JINI MAHABA), Maana nilishawahi kusikia, ukiwa unaota hizo ndoto...
Wapendwa mambo yote lazima yaende kwa kupangiliwa. Ukikurupuka utaiona wiki hiyo kama balaa ile mbaya.
Najua una familia, una marafiki nk, ambao ungependa kufurahi nao kwa kipindi cha funga /...
#Wanaume wanakuwa na akili kuliko kawaida muda wa kuoa.
- Maisha ni Kitu cha ajabu sana, kuna wanawake wanawakataa wanaume kwa sababu leo hawana hela, wanawakataa na kuwanyanyasa wanaume eti...
Am just thinking loudly.
siku mbili zilizopita nilisafiri kwa shughuli za kiofisi. Kama mjuavyo mambo ya serikali yetu hii, unajaza imprest, hela ya safari inachelewa kutoka, au unaweza kulipwa...
Wakuu kwema?
Kuna dada mmoja ni shemeji yangu yaani ni mpenzi wa mshikaji wangu. Wamebahatika kupata mtoto mmoja, japo walipanga wafunge ndoa mwaka huu ila kuna mambo hayakwenda poa wakaona...
Habari wana JF
Habari za asubuhi tulivu ya alhamis,ikiwa zimebaki siku kadhaa tu tumalize mwaka huu kwa kudra za mwenyezi Mungu tutavuka.Pole kwa ndugu zetu,jamaa na Marafiki zetu walioko...
Habari za leo wapendwa,
Kauli ni kitu cha muhimu sana katika mahusiano, si mahusiano kati ya mume na mke au na mpenzi wake tu bali kati ya mtoto na wazazi, ndungu jamaa na marafiki, hata watu...
Baada ya kuachwa na mpenzi wangu niliumia sana, niliamua kutopenda tena wanawake na maamuzi niliyopanga kila mwanamke atakayekatiza mbele yangu nampiga dushe ili kupoza machungu.
Kwa bahati mbaya...
Ushoga na uteja wa madawa zote ni laana. Hamna MTU apendaye mwanawe eidha awe shoga bin ***** wala awe teja.
Lakini magumu humkuta mwanadamu, lakini je kati ya hawa walaaniwa wawili ni yupi mwenye...
Mimi Kijana wa miaka 23. Kuna binti nilitokea kumpenda sana, nilijenga ukaribu nae mpaka watu wa pembeni walihisi niko nae katika mahusiano.
Siku zilienda binti akaanza kuonesha dalili za...
Habari wakuu??
Kila mmoja wetu nafikiri anajua umuhimu wa mzazi/wazazi katika maisha yake na jinsi alivyowajibika kukufikisha hapo ulipo, ni wazi wazazi wametulea na kutusomesha mpaka leo umeweza...
Nimekuwa kwenye arguments na marafiki zangu nikaonelea siyo mbaya nikashare na Kaka zangu, dada zangu, wakubwa kwa wadogo humu Jf jukwaa la MMU.
Debates yenyewe ni hii, kati ya mwanaume na...
Leo nilikuwa napiga stori na Ex wangu ambaye anataraji wiki mbili zijazo kuanza maisha mapya ya ndoa.
Mwanamke ni mkorofi, hapatani na yoyote katika familiya yangu. Kifupi ana mdomo hatari afu...
Kuna siku kulikua kuna uzi katikati kuna mdau akamjibu muanzisha uzi epuka kuwa mama wa mpenzi wako kuwa mwenza wake tu
Kiukweli haya mambo yanachanganya sana kwa maana kuna mambo...
Mchepuko huo ni mke wa mtu anafanya kazi nzuri tu katika shirika moja hapa Jijini DSM nilimpata baada ya kwenda ofisin kwao mara kadhaa alizimika na athelitc body yangu na jinsi nilivyo akaniomba...
Wakuu yani jana usiku sikupata usingizi kabisa,
Kuna demu mmoja niligharamia Elf 15 nikajua ntakula mzigo lakini matokeo yamekuwa tofauti,
Naijutia hela yangu ya ngama....
Kila unapomtizama dada mrembo ambaye nataka kumuoa unaishiwa nguvu kabisa na kujikuta naghairi. Fikiria huyu dada mrembo;
1. Kope za Bandia
2. Nyusi za Bandia
3. Kucha za Bandia
4. Nywele za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.