Ramea
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 2,146
- 4,094
Moja kwa Moja kwenye mada,
Hivi hawa Wairaq ni watanzania kweli? Mbona wazuri hivi. Tangu nihamie kufundisha kwenye shule ya wasichana maarufu sana hapa nchini, nimepata kuwaona na kuwafundisha mabinti mbalimbali toka kona zote za nchi.
Nawapenda wachaga kwakuwa most of them ni masela sana Wahaya wana body structure matata sana, Kanda ya kati (Dodom, Singida & Tabora) wana rangi adimu sana. Watoto wa Pwani (Tanga, Dar, Lindi & Mtwara) wana urembo flani amazing na kiswahili kitam tofauti na watoto wa Shy town, Nyanda za juu kusini na mwanza ingawa hawa wana heshima na ni washamba.
Kilichonifanya niandike uzi huu ni kuhusu hawa Wairaq, kila intake ya form five Mpya huwa navutiwa sana na baadhi ya wanafunzi lakini mwisho wa Siku nakuja kugundua kuwa ni mwiiraki.
Hivi Wairaq wote ndo wako hivi? Au ni hawa tu tunaoletewa hapa shuleni kwetu, watoto wakali! Alafu wapole, nikikumbuka na hii hali ngumu ya Rais Magufuli wananipa faraja sana kwa kuwatizama ingawa Siku si nyingi uzalendo utanishinda.