Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Leo nimefikiria, huu mchezo wa kumchezea simba sharubu tunaoufanya hivi siku ikitokea tumeng'atwa inakuwaje. Ningependa kujua position ya jinsia zote mbili yaani me na ke. Na walio wahi kufikwa na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nilipomaliza form six alitokea bint mmoja ambae at that time alikua amemaliza form four akawa amenipenda sana ofcoz nilimpenda sana lkn badaee nikaja nikahis kama bado mdogo nikamwambia kama vp...
2 Reactions
45 Replies
4K Views
Nimekuta hii kwenye mtandao watu maarufu walio wahi kuoa mabinamu zao Albert Einstein na Charles Darwin pia wamo imenishangaza kidogo niko curious na hili,why wanasayansi maarufu kama wao wali...
1 Reactions
46 Replies
6K Views
Namshukuru Mungu nimepata rafiki wa kike mtu mzima mwenzangu japo kanipita almost 10 yrs. Ni mdada mzuri ana roho nzuri kweli kweli tunakula bata sana tu mpaka shetani anaona wivu, outing, shoping...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Mume alirejea nyumbani na kukuta ujumbe juu ya meza umeandikwa "NIMEONDOKA" ilikuwa jioni, alienda jikoni na kukuta kukavu, aliwaita watoto na kuwauliza wakasema walimuona Mama akiondoka na begi...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu wa MMU Salaam! Kwenye Kitongoji ninachoishi yupo Bwana mmoja, Meneja wa shirika la uuma aliyeoa hivi karibuni. Mwanamwali aliyeolewa alihamia kwa mumewe akiwa na watoto wawili, wa kike na...
1 Reactions
45 Replies
6K Views
Mimi sikukatazi kutumia mwili wako kama kitega uchumi. Sikukatazi kulala na wanaume kwaajili ya pesa, mavazi, vipodozi na hata magari. Lala na kila mwanaume unayemwona mbele yako. Endelea tu...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Ukiongea na wachepukaji lazima watakushuhudia kuwa huko mchepikoni kuna raha na furaha fulani, No stress, Satisfaction na eti wana-enjoy sana to the Uhuru Peak. Na mbaya zaidi hili hasa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ukifuatilia sana wasichana wazuri wenye sura nzuri huwa ni ngumu sana kutulia na kwenye mahusiano na ndiyo wanaoongozwa kutendwa na kuachwa na wanaumia sana na kuishia kuchezewa ila kwa hawa...
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Mimi ni kijana wa miaka 20 nasoma chuo cha utabibu dip in clinical medicine,madam ananifundisha somo la anatomy, ameniambia kuwa ananipenda sana ameniambia mimi ni handsome nina tabia nzuri...
5 Reactions
155 Replies
19K Views
Kaka kamwambia dada hawezi kumwoa kwa kuwa koo yao haichangamani na ya dada, sasa kaka anaendelea kumwita dada romantic names....how this comes?? Seriously!! Kaka ashamwambia dada sasa naona...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
by Carly Spindel Here are a few tips from a matchmaker on how to make sure everyone in your boyfriend’s life likes you as much as he does … How to make sure everyone in your boyfriend’s life...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Kijana wa miaka 26 nipo Mbeya natafuta mke wa kuoa, kabila lolote asizidi elimu ya kidato cha 6 mengine tutayajadili, nitext au WhatsApp yangu 0759201441 Asante.
0 Reactions
1 Replies
969 Views
[emoji121] Wakuu, Dawa ni muhimu sana. Ni vema kufanya jitihada za kununua dawa za kutosha ili matibabu yaende sawia! Sasa nalaumiwa vibaya kisa nimenunua dawa zinazohitajika Badala ya...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu, Hivi manukato au harufu ya pafumu, au aina ya pafyumu unayotumia inaweza kuleta mvuto wa kimapenzi kwa pande zote mbili? Me na ke?
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wakuu nilichosikia kutoka kwa mpenzi wangu wa zamani [Mzaramu] katika stori zetu za hapa na pale alinambia eti hajaoga kwa siku 14 kilinishangaza hiki kituko hivi ni kweli mtu akiwa mwali...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi ni wasichana wangapi hapa nchini Tanzania wanaopoteza usichana wao au bikra zao kila siku kabla ya kuolewa?? Nimeamua kuuliza hivi kwa sababu nimeshuhudia kwa siku mbili mfulizo (jana na...
1 Reactions
29 Replies
7K Views
I gave my heart my soul my body and my trust, i loved you more than everthing, sijawahi kukucheat hata siku 1. But now umeamua kunitenda unatongoza mwanamke JF bila kunihurumia, kwanini mpenzi...
5 Reactions
576 Replies
35K Views
Habari wana MMU. Kuna binti nimetokea kumpenda sana ila tatizo ni kwamba hataki kukubali ombi langu la kuwa na mpenzi wangu. Mwezi wa saba sasa umetimia tangu nianze kumfuatilia, na kuna...
0 Reactions
133 Replies
12K Views
Dating a gold-digger is like dating a child for me, because she does not bring any money and she only expect you to just do everything for her, her only difference from a child is that atleast, a...
0 Reactions
1 Replies
957 Views
Back
Top Bottom