Dada kanipa utaratibu kaninyima mwongozo je, ni halali kuoa mdogo wake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dada kanipa utaratibu kaninyima mwongozo je, ni halali kuoa mdogo wake?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by admiral elect, Dec 10, 2011.

 1. a

  admiral elect Member

  #1
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakuu naomba mchango wenu wa mawazo kwani nataka kufanya maamuzi nadhani muhimu sana.
  Dada mtu tunasoma nae mwaka wa tatu sasa na kwa kweli kwa maoni yangu dada kakamilika sana yaani vitu vyote muhimu hasa nivipendavyo mimi ikiwemo tabia tabia na mwenendo mzuri. Ni kweli nilifahamu kuwa dada ana mchumba lakini kwa sababu tunaelewana sana (watu wengi wanaamini kuwa sisi ni wachumba au wapenzi) na kwa kuwa nilihisi kwamba ananipenda na kwamba naweza nikafanya mapinduzi ya amani,nikaamua kujaribu mawazo yangu.
  Basi nikamuomba kuwa nina shida ya kuongea naye faragha nje ya chuo. akakubali lakini akaomba nimwahidi kuwa huko sintaomba muongozo wala utaratibu labda tu taarifa ya spika naweza kupewa na kwa kweli h mara nyingi huwa tunapeana taarifa ya spika tunapoonana. Kilichonishtua akaniambia hata yeye ana kitu anataka kuniambia na alikuwa ananivutia pumzi tu na kwamba ataniambia siku hiyo baada ya mimi kumweleza yangu.
  Basi tukaenda nje ya mji wikiendi na kupanga chumba chenye vitanda viwili katika hoteli moja iliyoko ufukweni. Ikapita asubuhi,ikawa mchana mara jioni halafu usiku huooo! Ukafika, tukaingia chumbani maana muda mwingi tulikuwa ufukweni tukiogelea ,kula na kunywa na kuongea mambo mengine ikiwewa ni pamoja na masomo si unajua kozi yetu inavyokaba na kila mara nilipotaka kumweleza yanayonisumbua aliniambia nisiwe na haraka si tunalala tena chumba kimoja sasa haraka gani? Basi wandugu ule muda ukafika yaani baada ya kila mtu kuoga na kupanda kitandani ndo nikaanza kutokuamini kilichokuwa kikitokea( lazima nikilii kuwa baada ya kumshawishi kulala na hasa chumba kimoja niliamini mapinduzi yangewezekana tena kwa kishindo) hali ikawa kinyume kabisa ,kwanza kumshawishi tulale kitanda kimoja ilichukua kama saa na nusu!haya kupewa utaratibu ilichukua kama saa nne hivi na muungozo wa spika ndo niliomba bila mafanikio mpaka napitiwa na usingizi nadhani kwenye saa tisa au kumi hivi. Majibu aliyonipa ni kwamba ananipenda sana lakini ana mchumba na zaidi kuna sababu nyingine ambayo ataniambia asubuhi.
  Niliposhtuka asubuhi kwa sababu ya uchovu wa mchana kutwa na karibu usiku kucha wa kubembeleza kupewa muongozo wa spika,nikamkuta binti naye kalala kifuani kwangu naye kapitiwa na usingizi na uchovu. nikajaribu tena kuomba muongozo tena kwa vitendo,basi nikapitisha mkono taratibu mpaka kwenye the mountanain between kuelekekea the river between.binti akaruka na kuniambia niache.
  Baada ya kunywa chai na kurudi chumbani, msichana huyu akaniambia sabau ya pili ya kuninyima muungozo kuwa ni kwa sababu angependa na ananiomba niwe mchumba wa mdogo wake ambaye kwa sasa yuko form 6 mkoani kwao na sababu za yeye kuniomba hilo ni hizi.
  1.aliombwa na marehemu mama yake asaidie kumwongoza mdogo wake apate mchumba mzuri kama wa kwake na kwamba anaamini kuwa mimi nitamfaa sana mdogo wake.
  2. mdogo wake aliwahi kuoniona kwenye dvd ya arusi ya class met wetu na akavutiwa sana na mimi na kwamba anadhani ananipenda sana.
  Vivutio: 1.nikaonyeshwa picha tatu za dogo yaani ile ile.mambo yetu yale kama kawaida.
  2. dogo ana tabia nzuri anaamini kuliko hata yeye mweyewe.
  3.dogo anavyomfahamu na alivyomhakikishia kuwa tukielewana mien ndo nitakuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi.
  4.tunapishana miaka 5 na dogo hivyo anafaa zaidi kuwa waifu tofauti na yeye ambaye namzidi miezi michache tu.
  Mawazo yangu(yanaweza kubadilika kutokana na ushauri wenu)
  Kwa kuwa dogo ana uhakika wa kuja kusoma hapa dar ,basi nisubiri nimuone live na kuangalia mwenendo na tabia yake kama tutaendana vizuri basi nimchumbie na kwamba ingawa dada mtu nilishalala nae kitanda kimoja na kupeana utaratibu na taarifa tu, basi ni halali kumuoa mdogo wake kwani hakunipa mwongozo wa spika ambao hatimaye ndio ungetia kikwazo (unajisi).WAKUU NAOMBA KUWASILISHA!


   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  duh hiii ni kali kwa kweli........
  dogo nae mumueleze kuwa mlikuwa chumba kimoja na dada yake na mlilala kitanda kimoja
  ndo mkaafikiana wewe uoe dogo........duh......
   
 3. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Naona kama ushajijibu hapo kwenye sentensi ya mwisho...anyways,unatakiwa ujielewe na wewe sio unaenda enda tu kama ndege mbayuwayu..na mpaka mdada kalala kifuani kwako mkashikana shikana ina maana kuna chembe chembe za hisia za mapendo na yeye anazo..Moyo wako ndo unatakiwa kutatua hilo bro..sidhan kama wana JF tunaweza kutoa ushauri bora zaidi ya moyo wako ukizingatia suala linahusu hisia..
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Dec 10, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mwenyewe umesema unamsubiria mdogo uone mambo yatakuaje hivyo subiria mpaka upate kumfahamu mwenyewe kabla ya kufikiria na kuongelea maswala ya uchumba. Akikupendeza machoni, akilini na moyoni jichanganye. Kila la kheri.
   
 5. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #5
  Dec 10, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Anataka uwe shemeji yake wa baadaye ili uwe karibu naye na mmenyane kisirisiri na hana future ya kuwa mpenzi wako wa maisha,
  kama una mpango na huyo ndogo wake pia jiandae na mitego yake baadaye,mana kama ana msimamo haiwezekani mlale chumba moja na kitanda kimoja.
   
 6. a

  admiral elect Member

  #6
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ok kaka nami na mawazo hayo ila nadhani dada ndie abebe jukumu hilo maana anaweza kujitetea vema kuliko mimi
   
 7. a

  admiral elect Member

  #7
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  bila shaka mwamuzi ni mimi lakini wahenga husema, penye wengi..........na mkataa wengi.................
   
 8. a

  admiral elect Member

  #8
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sawa nimekupata dada yangu,yuombeane tu heri
   
 9. a

  admiral elect Member

  #9
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sidhani kama ana nia mbaya maana kama angekuwa nayo siku ile angenipa mwongozo.beside yeye aliniambia kuwa aliiona hiyo chance kama namna pekee ya kufikisha ujumbe aliokuwa nao.
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Dec 10, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  nikupe ushauri wa kiume aisee..
  ukioa dogo.....
  huyo dada mtu kuna uwezekano mkubwa
  akawa anakupa kwa siri......
  sasa kazi kwako.....hiyo ndo picha ilivyo...
   
 11. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #11
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Hayaaa..Msubiri arudi uthamanishe tabia na yale utayopendezewa machoni. Nami pia nakutakia kila la kheri bro....
   
 12. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #12
  Dec 10, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,335
  Likes Received: 2,340
  Trophy Points: 280
  Duuh Ila huyo dada jasiri umeshika hadi kitumbua ila kakataa usikile.Huyo dada hapendi kukupoteza ndiyo maana kakupa option ya mdogo wake.Namanisha una something special amekiona tangu muwe marafiki.
   
 13. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #13
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Halafu mdada kama huyo atakuwa na wivu balaa kwa dogo....maana mwishowe ataona dogo anafaidi sana wakati yeye ndo kalengesha..balaaa!
   
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  Dec 10, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ungesema kuna uwezekano dada akataka kutoa kwa siri maana mpaka ampe jamaa lazima kutakua na makubaliano kati yao.
  Na kama yeye hatotaka habari itaishia hapo.
   
 15. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #15
  Dec 10, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Heeee! Dunia haiishi vihoja. Ila huyo mtu na dada yake wote watakuwa hawajatulia. Si ajabu kuna mpango mchafu wanataka wakufanyie.
   
 16. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #16
  Dec 10, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  ndoa zote zina kipindi cha matatizo
  sasa huyo dada siku ndoa yake ikipitia kipindi hiko
  lazima atamkumbuka jamaa,na hatajali kuwa ni mume wa dogo
  hapo ndo kazi ilipo...
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Dec 10, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  ndo maana nimemwambia kazi kwako
  kwa maana kukubali au kukataa...
   
 18. p

  pansophy JF-Expert Member

  #18
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Pole sana mkuu, yaliyo kupata hayajawahi kunitokea wala kupita katika fikra zangu, yaani upo kitanda kimoja halafu hakieleweki hii case haina exception kwetu , Nahisi naweza kupewa laana na wakubwa zangu. Ushauri wangu potezea wote lakini Kama vipi fagia hiyo dogo kwasababu inaonekana moyo wako umelala kwa dada mkumbwa, anyway time will tell just play along.
   
 19. a

  admiral elect Member

  #19
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mkuu dada ana msimamo balaa, yaani sikuamini mpaka asubuhi.nakumbuka nilirudi za zana mpaka chuo.
   
 20. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #20
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Hakuna cha ushauri hapa! Una feelings kwa huyo dada na yeye ana feelings kwako. Hawezi kuwa shemeji yako. Mark my words, u don't put skeletons in ur closet, they will hunt u till they find u and start haunting u. Ukifikia kwenye kuwa haunted urudi hapa ndo uombe ushauri!
   
Loading...