Samahani wadau, nauliza inachukua muda gani mtu akikupa hela ya uchumba mpaka kuja kutoa mahari( kujitambulisha)?
Mpenzi wangu kanipa hela ya uchumba mwezi huu atakuja mwezi wa pili. Je, ni sawa?
Jamani nombeni tumpe huyu ndugu yetu ushauri.
Nilikuwa na mchumba niliyempenda na kuahidiana kuwa nae muda kidogo baada ya kumaliza masomo yangu ya chuoni, nilimpata miezi 2 kabla sijaondoka...
Wanajamii hii mitandao mingine ya kijamii yakuangalia matumizi yke kwani kuna dada poa wanajiuza,wengine ni mawasiliano ya kawaida.
Basi kuna binti mmoja nilijaribu nione je inawezekana...
Nawasalimu nyote.
Naomba kila mtu afunguke juu ya utofauti wa DEMU na MPENZI (ke) au mke nia yangu kuelewa wasifu wa wote hao ili nijitambue nipo site ipi.
Wanaume wengi wanatabia ya kumtaja...
Kesho ni Cku ya Mgomo kwa Wanaume wote Duniani.. kukemea vikali Swala la kuhonga Hela Wanawake.. kwa sababu..5
=.1..NYEGE Mnazitafuta wote..
=.2...MAPENZI mnafanya wote..
=.3...VIUNO, Mnakata...
Kuna vitu ukiwa kama mwanamke unashangaa sana hasa kwa hawa vijana akikuona JF tu unasikia ni pm, uko fb pia inbox, hao wakija ni kujisifu tuu maneno mengi english nyingi yenyewe ya kwa Ras...
Mimi ni kijana wa kiume, nina miaka 30. Nimehitimu elimu ya Chuo Kikuu ngazi ya Uzamili. Kazi ni Mhadhiri na ninaishi Mwanza.
Wana JF, natafuta mchumba mwenye umri usiozidi miaka 30 na...
Lord Jesus. ..
Namshukuru mno mno Mungu wangu wa mbinguni, kwa kunipa neema ya kuiona siku hii, na kunipa kibali hiki cha kuweza kuandika maneno haya kwenu muda huu "AHSANTENI SANA"...
SG8 has reportedly announced to retire from professional football. He was a footballer who can be looked upon as an example by the upcoming generation of footballers. He was loyal to his club, won...
Mume alirejea nyumbani na kukuta ujumbe juu ya meza umeandikwa "NIMEONDOKA" ilikuwa jioni, alienda jikoni na kukuta kukavu, aliwaita watoto na kuwauliza wakasema walimuona Mama akiondoka na begi...
Nje kunani?
1. Kichwa kinanizunguka kwa kuifikiria nje. Ikiwa nje ya nchi, nje ya nafsi, nyumba au aina yoyote ya nje. Najiuliza swali. Kwa nini wengi wa watu wanapenda vya nje? Kuna nini uko...
Dunia hii ni ngumu endapo utaishi kwa kujumlishajumlisha mambo hata ambayo hajumulishiki. Madhara ya kujumlishajumlisha mambo ni kukataa hata yale yasiyokatalika.
Don't marry for sex, don't marry because you are of age.
don't marry because you are getting old,
don't marry because you are lonely, don't marry
because you need someone to support you...
Mimi ni kijana wa kiume, nipo single, nimeajiriwa serikalini. Nina miaka 33. Natafuta mke. Awe na umri chini ya miaka 35. Sichagui dini. Kwa yeyote atakaekuwa tayari tuwasiliane 0689027050
Heshima kwenu wakuu!
Hakika dunia inamengi ya kushangaza name kustaajabisha. Katika kudadisi dadisi kama ilivyokawaida Yangu sikuacha kushangaa jambo hili la mvuto wa jinsia ya kiume kwa wanyama...
Habari wadau!
Mdogo wangu alitangaza kutaka kuoa, kwa kuwa ni jambo la heri tukapeleka barua na taratibu za mahali zikafua!
Tumechumbia mtoto Wa kirangi mzuri sana!
Mahali wametutajia ng'ombe...
Binafsi nikitoka na msichana nishaamua kuugulia maumivu tu mwenyewe, maana nishapata aibu kipindi cha nyuma, kuna manzi nilimlisha sana bata kipindi hiko, kuna weekend kaniomba tutoke, nikamwambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.