Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mmeeeelewa
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Hiyo ni kauli kutoka kwa baadhi ya wanawake. Je kauli hiyo ina ukweli kiasi gani? Kuna bahati mbaya moja, ambayo baadhi ya wanawake hawaijui. Hii ni ile yakudhani kwamba, mwanaume...
2 Reactions
29 Replies
6K Views
Kuna mambo yanafurahisha hadi huruma. Nimekaa na mdada hapa anahaha sio kidogo, kapigiwa simu na Bwana wake wakutane hapa sasa kawahi kufika bwana bado ndo kumwambia ale anywe chochote atakacho...
18 Reactions
89 Replies
8K Views
Hivi mnadhani waliosema mwanaume ni kiumbe dhaifu kwenu alikosea? Hivi ni makusudi mnafanyaga au? Unakuta dem ana umbo nzuri msambwanda huoooooooo alafu mkiwa faragha anakuletea style za mbuzi...
1 Reactions
23 Replies
10K Views
KWA jina ninaitwa Zakia Ramadhani, ni mtoto wa kwanza katika familia yenye watoto kumi, mama yangu aliyeitwa Zubeda Hassani na baba yetu aliyeitwa Saidi Ramadhani ambaye hapo tulipokuwa tukiishi...
105 Reactions
181 Replies
65K Views
MWAKA MWINGINE NDIO HUO UNAKATIKA, BAADHI YA MARAFIKI ZAKO WAMEOLEWA... WEWE ENDELEA KUSEMA, "ALL MEN ARE PLAYERS." - UTAOLEWA NA REFA BASI...
0 Reactions
2 Replies
674 Views
Hellow wana JF, Hii ni kwako wewe dada ambaye unatafuta mchumba (GENTLE MAN) mwenye KIPATO kinachoeleweka, FANYA MAMBO YAFUATAYO ANGALAU MARA MOJA KWA WIKI; PATA LUNCH AU DINNER RESTAURANT...
3 Reactions
63 Replies
7K Views
Natumai kila mwana JF ni mzima wa afya...... Katika kipindi hiki tunapoelekea kumaliza mwaka naamini kila mtu amejawa na furaha ya kutosha kulingana na kiwango chake..... Hali ni tofauti kabisa...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Kati ya nyanya, biringani, na bamia wewe wapenda kipi? Na wakipendea nini hasa? Ni kitamu au kichachu? Ni kigumu au kilaini?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Leo ndio siku tunayohitimisha sherehe za Christmas, lakini pamoja na kuwa ni sherehe kuna watu imewaendea vibaya. Natoa pole rasmi kwa wafuatao Kwa wale ambayo wameachwa mataa kwenye mtoko...
0 Reactions
0 Replies
627 Views
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeajilriwa natafuta msichana wa kuoa anayejielewa awe na miaka 20-25, awe na shughuli halali inayomwingizia kipato. Aliye tayari tuwasiliane pm
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimeamua nikiwa na akili timamu kabisa kwamba sasa napanga kwenda Rwanda kutafuta mtusi wa kuoa. Kwa habari ya uzuri sina shaka kabisa na nina amini wadau mtaungana na mimi kwamba hawa watoto wa...
11 Reactions
222 Replies
22K Views
Za jioni wakuu..niende kwenye mada.. Katika mazingira ambayo mda mwingine hayazuiliki kwa namna yoyote ile, inabidi kuachana kwa wazazi. Na kwa sababu za aina yoyote ya maisha mda mwingine...
4 Reactions
0 Replies
1K Views
Kijana mmoja aitwae mwakabongo Leo ameonyesha kihoja pale alipokimbia ndoaa Kanisa LA KKKT usharika wa isanga Akiongea kwahuzuni MCH WA KANISA HILO ANDAGILE MWAKAJUNGU AMESEMA KWAMARA YA KWANZA...
2 Reactions
170 Replies
24K Views
Jioni ya Leo nikapokea simu ya bro, Dogo nakuja home kukuchukua nikale nawe bata za mwisho mwisho karibuni sikupati tena. Leo nikasema wacha nikaoshe macho kabla sijaingia kifungoni, chezea...
7 Reactions
72 Replies
10K Views
I know this is a passing fancy but 'the hell with it'. Unakutana na mdada leo kesho eti anakuomba hela ya matumizi. Hata soni hawana. Hata ile kujistukia kidogo tu nako hakuna. Hivi kabla...
33 Reactions
609 Replies
55K Views
HADITHI NZURI SANA YENYE MAFUNDISHO NDANI YAKE Kulikuwa na mfalme mmoja aliyekuwa na mbwa kumi wakali sana. Alipenda kuwatumia mbwa hawa pindi akitaka kumuadhibu mtumwa aliyekosea. Mbwa hawa...
3 Reactions
4 Replies
31K Views
*SASA NIMEFAHAMU* *MANENO YATOAYO MACHOZI* "Mama anaongea na mwanawe na kumpa *Usia"* Mwanangu mpenzi: Kuna siku utanikuta uzee, sitafanya mambo yangu kwa akili; Yakitokea hayo nakuomba...
5 Reactions
3 Replies
4K Views
Nina miaka 27, nipo dar, nina bachelor degree,ni muislam Sifa za mwanamke ninayemuhitaji Awe muislam Awe na umri miaka 18-30 Awe na elimu kuanzia kidato cha nne Awe na upendo wa kweli Kwa...
0 Reactions
1 Replies
913 Views
Ni takribani miaka 23 imepita tangu nizaliwe, ila tangu niingie umri wa kujitambua sijawahi kuwa na mpenzi pasipo na sababu za msingi, hii inanipunguzia uwezo wa kujiamini hasa pale ninapowaona...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…