Uzee bila hekima na busara ni mzigo kwa watoto

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
32,213
75,719
Uzee ni cheo cha heshima sana lkn kuna baadhi ya wazee wamejaa upuuzi kichwani mwao hawajui vichwa vyao ni fahari ya watoto wao na wajukuu wao!.
kichwa cha mzee kimepitia mengi,kujua mengi n.k lkn kuna wazee wengine ni ......!!
wazee wa namna hiyo mbadilike mnateketeza watoto na wajukuu wenu kwa tabia zenu mbovu inakera na iwafikie wote wenye tabia kama hizo.
 
du kweli kabisa mi zee mingine kama imerogwa sijuh hana time na watoto kbsa yeye ni ubabe tu hana furaha kbsa na family yake shame on you father.......
 
Daaah,,....Yaan huwa Naomba sana mwenyezi Mungu anijaalie ujana na uzee ulio na busara na hekima siku zote. .....narudia tena "eeeeeh Mwenyezi Mungu nikumbuke mimi kiumbe dhaifu unijaalie hekima,utashi, na busara katika maisha yangu yote". ......Amina.
 
upo mkoani Mkuu? hapa mjini hakuna Wazee mbona.kuna mbembeez akina Lemutuz
 
Vichwa vyengine vigumu kuelewaa kama vipo dug mda wote!
unaishi kwa kuimage kwamba hakuna wazee! unatabu kwa jinsi unavyodhani
you seems to be so naive! age is just a number,what matters most is spirit!
 
you seems to be so naive! age is just a number,what matters most is spirit!
ha ha! uzuri jambo nililoongelea lipo kwenye jamii!,namba ni uhesabuji tu ila uzee upo palepale hata kama hakuna namba hawa ni watu wanaotakiwa kuwa na hekima pamoja na busara.. usiyafumbue macho yako kwenye mwanga tu bali hata kwenye giza you can see anything
 
Back
Top Bottom