mzee wa ngada
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 693
- 293
Habari wanajamvi,
Nimeoa miaka 2 iliyopita. Changamoto kubwa niliyonayo ni huyu mwanamke nimemfungulia kaduka. Basi dharau zimezidi hatari, ananijibu anachotaka.
Nikimuuliza mahesabu kuhusu duka hataki kunipa, unyumba mpaka nimbembeleze. Inaweza kupita wiki 2 anatoa visingizio kibao.
Naombeni ushauri wenu.
Mada hii imetumika kwenye Kipindi cha JamiiLeo kinachorushwa kila siku jioni katika Channel ya JamiiForums kwenye mtandao wa Youtube.
Kuona kipindi hicho angalia video ifuatayo: