Designer_3434
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 4,863
- 3,895
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza Wadau, nipo kwenye Mchakato karibu sana.
Kwanini unataka kuoa.Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza Wadau, nipo kwenye Mchakato karibu sana.
Hujaeleweka, uko kwenye mchakato maana yake nn? Je unatafuta mchumba, umeshampata uko kwenye maandaliz ya ndoa au tukueleweje maana hujaelewekaKama kichwa cha habari kinavyo jieleza Wadau, nipo kwenye Mchakato karibu sana.
Kweli kabisaMkuu hongera ila ujue ndoa si kuchati kuwa kifurushi kikiisha utanunua kingne ndoa ni utimamu wa akili kwa wanandoa
Indipo kulima ibhisabhiKweli kabisa
Ulipo munduu
Indipo kulima ibhisabhi
Sawa mkuu!Hongera sana kwa mawazo yako, ukimpata utujulishe tushone sare.