Ushauri kwa mrembo huyu

issac77

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
2,541
2,000
15672615_188513544953849_3335201758467058725_n.jpg

Mimi ni msichana nina miaka 23,baba yangu ni mfanyabiashara maarufu sana na ni miongoni mwa matajiri wakubwa sana.mwaka wa jana mwezi wa kumi na mbili nilifiwa na dada yangu ambaye ni wa kwnza kuzaliwa,baba alikuwa anampenda sana dada na siku alipofariki baba alilia sana kiasi cha kupoteza fahamu mara kadhaa kitu kilichopelekea akimbizwe hosptal.

week iliyopita baba aliniita chumbani kwake kitu ambacho sio kawaida,kufika akaniambia kwamba utajiri wake wote aliupata kwa mganga wa kienyeji na alipewa sharti la kufanya mapenzi na bintiye ili kuufanya utajiri wake uendelee kuwepo.Aliendelea kuniambia kwamba kwa kipindi chote alikuwa anafanya mapenzi na marehemu dada yangu na ndo maana alizidi kuwa tajiri,

sasa kwa kuwa dada amefariki aliniambia inatakiwa mimi ndio niwe nafanya naye mapenzi ili kutimiza masharti ya utajiri la sivyo utajiri wake wote utapukutika.

Mimi nimechanganyikiwa kwa kweli naombeni ushauri wenu Tafadhali share na wengine ili apate ushauri zaidi
 

pistmshai

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
1,315
2,000
sasa umechanganyikiwa nini...!
wewe ushaonesha huo utajiri wa baba yako wa masharti bado unautamani..
Acha aweke hilo Dushe huko chini...
 

Bonny

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
13,195
2,000
Sa achanganyikiwe kwa lip atoe mzigo aendlee kutembelea lexus au agome tukapande wote mwendokas
 

kiwatengu

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
15,243
2,000
kazi ipo...kimbia fasta na wewe utafuata

[HASHTAG]#RestInPeaceDena[/HASHTAG]
 

mashishanga

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
612
500
Mmh simama imara yawezekana ata huyo Dada yako wamemchukua kichawi hivyo ukishaanza huo ujinga mwisho Wa cku na we watakuchukua kichaw bora muwe maskin ila muwe na amani yan ukamvulie baba yako afu mwisho Wa cku na we watakuchukua kichaw
 

mensaah

JF-Expert Member
Sep 12, 2016
984
1,000
Hadithi hiyo wasimulie wanafunzi wenzio si bado hamjafungua shule/ vyuo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom