dekitambi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2015
- 663
- 761
Hellow JF
Baada ya kupost UZI sehemu ya kwanza
Kumuelewa mwanamke pita hapa,
Hii ni sehemu ya mwisho ,
Kwa wenye nia ya kujifunza hakika watajifunza mengi bila kupoteza muda songa nayo hapa chini,
15. MWANAMKE MTONGOZAJI
Huyu ni mwanamke ambaye anamuonekano wa kawaida, ni maji ya kunde, huyu huchagua mwanaume ampendaye kama afanyavyo simba anapochagua digididi wa kumkamata,
Mwanamke huyu humfuata mwanaume na kumuonyesha dalili kisha mwanaume huingia kingi mwenyewe,
Baada ya kumpata hupenda kukaa na mwanaume pamoja kama kumbi kumbi
Humjali mwanaume kwa kila kitu humpangia mpaka ratiba nini anatakiwa kufanya,
Hizi ndizo couple zinazopatikana vyuoni na kazini.
UKIMGUNDUA MWANAMKE wa aina hii usimwonyeshee SHOBO , tulia mpaka mamno yaive.
ANAFAA KWA KUOA.
16.MWANAMKE JIJI
Huyu anaishi kijijini na alibahatika kujiunga na chuo mjini,
Kimuonekano ni mzuri na hupenda kujiweka vizuri kimavazi baadhi ya siku huvalia nguo zake alizoshona kutoka kijijini kwao mfano nguo za vitambaa vya kung'aa kama satini n.k
Akipaka lipstick hupaka kupita kiasii
Mara nyingi anapenda kucheka cheka ovyo na kuiga vitu kutoka kwa wanawake wenzake.
Ukitaka kumpata ingia na story za vijijini
KAMA UNA AIBU usimtongoze maana vituko vyake utakuwa unachekwa kila siku.
17. MWANAMKE GHETO
Huyu ni fighter, hujitafutia kila kitu, amepanga uswazi, sio msafi sana ,hajasoma sana, ananywele zilizo timuka kidogo mara nyingi husuka kawaida (twende kilioni).
Anaupendo wa kwelii ila mara nyingi huachwa kutokana na uchafu na tabia ya udokozi,
SIO MCHOYO kutoa papuchi.
18. MWANAMKE MWANAUME
Huyu asilimia kubwa ya marafiki zake ni wa kiume, ni shabiki wa FOOTBALL n.k
Anatabia za kiume,
UKITAKA KUMPATA MCHUKULIE KAMA MWANAUME MWENZIO , TIZAMA NAYE mpira kwa pamoja, usimletee mambo ya kike kike , zawadi mnubulie jezi,
KERO utamisi vionjo vya kike utakuwa kama upo na mwanaume mwenzio.
MWANAMKE MAGROUP
Huyu hupenda MAISHA YA STAREHE ,kutoka na watu maarufu, anavaa nusu uchi, hupenda kwenda NIGHT CLUB,
Hana akili ya maisha, kichwani ni mtupu,
Anauzungu mwingi.
HAFAI HAFAI HAFAI kwa kuoa UKIISHIWA UMAARUFU au PESA anachapa RAPA.
MWISHO.
NAKARIBISHA MASWALI, NYONGEZA, MAONI NA MICHANGO,
PIA MTU YEYOTE MWENYE UELEWA TOFAUTI NA MIMI ANARUHUSIWA KUMJIBU MTU KWA KILE KITAKACHOKUWA KIMEULIZWA (ELIMU HAINA MWISHO),
DEKITAMBI.