Wandugu natafuta mchumba

dah i was abt to pm u bt ahh bas tena.....AWE MWEUPE ?
mi mweusi lakin sifa nyingine zooooooote ninazo.....so?
 
Nimekaa singo kiasi ambacho nimechoka na upweke. Sasa natafuta binti ili tuweze kufanya maisha.

Vigezo
1. Mkristo (mkatoliki ni added advantage)
2. Maji ya kunde au mweupe
3. Mwili wa wastani
4. Diploma na kuendelea
5. Miaka 24 - 28
6. Mzuri
7. Awe serious na hili jambo

Mimi
1. Mkatoliki
2. Black
3. Mrefu, mwili wa wastani
4. Shahada
5. Miaka 34
6. Wa Kawaida
7. Niko serious
8. Kwa sasa hela haijanitembelea

Nadhani nimeeleweka hapo wandugu. Just PM ladies na mengine yataendelea huko sirini

gud luck, ila kwenye bluu na nyekundu wataka mweupe halafu mzuri

kwenye bold hela haijakutembelea halafu wataka wazuri, wazuri gharama my dia
 
ukimuona kule jukwaa la wakubwa humdhanii kupata msichana ni kazi kwake mpake atafute mtandaoni ..:ballchain::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth:
 
Tuendelee na maisha ya kawaida. I got what I wanted. A very successive simple research regardless of the sample zize
 
kwi kwi....tangu lini kutafuta mchumba likawa jambo la aibu?
muoneni huyu anavyogwaya gwaya?:whoo::whoo::embarrassed:
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom