Ikiwa zimebaki siku chache kuumaliza mwaka

Illuminata Rodgers

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
2,381
2,000
Hellow wanajf nimewamiss sana hope mmesherehekea vema sikukuu ya xmas kwa wale mliosherekea mkiwa wagonjwa au mkiwa na matatizo mbalimbali polen sana,hayaa mwaka ndo huo unaishia vipi ulichopanga kukamilisha mwaka huu kimefanikiwa kukamilika na je kimeenda kama ulivotaraji kama jibu YES congratulation but kwa wale ambao jibu ni NO hupaswi kusikitika bado una nafasi jipange upya ili mwaka ujao yale utayoyapanga yapate kutimia..ni hayo tu wapendwa.
 

gh hussa

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
2,897
2,000
dah! niliyopanga 2015 hayakukamilika mpaka 2016 ngoja nisubirie huu mwaka...ila ndugu jamaa na marafiki msisau kumtanguliza mungu kwa kila kitu nawatakia heri ya mwaka mpya
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom