Usafi ni silaha kubwa ya kudumisha mapenzi hasa kwa akina dada

masengobangu

Senior Member
Feb 25, 2014
127
131
Poleni na uchovu wa jana na juzi,

Yametokea malalmiko makubwa kutoka kwa akina dada kwamba mwanaume amemfatilia kwa muda mrefu lakini baada ya kummega tu hajarudi tena,ingawa kunaweza kukawa na sababu nyingi lakini kubwa ni USAFI.

Unakuta mwanamke mzuri ,ana shape ya kumtajia mshahara wako wa mwezi lakini ananuka jasho,ajajisafisha sehemu za siri,nywele za siri hajanyoa hana analolijua kitandani.Kwa hali hii mwanaume kurudi inahitaji nguvu za giza.

Inashangaza kwa karne hii mwanamke unanuka mdomo?kweli? .Pia unakuta mwanamke nje amevaa vizuri ila nguo za ndani kama sidiria,taiti na chupi zimechakaaa au kama ni nyeupe unakuta zimefubaa,kweli mwanaume atarudi kwa hali hii?.

Inasemekana moja ya UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME unatokana na uchafu wa akina dada coz ukiona hali hiyo uwezo wa kupiga mbili huwezi kua nao coz hamasa yote inaisha na ukijitahidi utapiga moja basi.

BADILIKENI akina dada,usafi ndiyo silaha muhimu yakufanya usiachwe au kusalitiwa.
 
Kwa kweli mi pia napenda mtu awe msafi kwa wanaume na wanawake wote USAFI ni muhimu.
 
Ukweli kabisa, kama unamvua nguo mwanamke unamkuta msafi kimavazi namna hii hata ndani pia radha itakuwa muruwaaaa
0274afabef085124cc9b7936f020fd8c.jpg
 
Usisahau na wale wanaume wananuka midomo, boxer hazijafuliwa ni mgando, viatu inabidi akavulie chooni maana ni harufu kali mno au aende akavulie nje. Yaani ananuka jasho utafikiri beberu. Sasa tunaomba wote waume kwa wake wawe wasafi tu. Tuangalie pande zote mbili ili kuwa fair kabisa.
 
Unalosema mleta mada ni kweli kabisa but hapo kwenye swala la kupungua nguvu za kuime kutokana na uchafu sina uhakika, coz nyie wakaka ndo mnawapga mimba wale vichaa wa majaani, sa sijui hua mnawapa kwa Bluetooth, I don't know..........
 
Back
Top Bottom