mwampepec JF-Expert Member Mar 22, 2013 487 237 Dec 27, 2016 #1 HABARI WANA JF HONGERA KWA WALE wote walio sherekea bila kugombana Ila walio gombana na kukwaruzana wasamehane mwaka ndo huo unaisha jamani
HABARI WANA JF HONGERA KWA WALE wote walio sherekea bila kugombana Ila walio gombana na kukwaruzana wasamehane mwaka ndo huo unaisha jamani
Nokia83 JF-Expert Member Jan 16, 2014 24,643 44,317 Dec 27, 2016 #2 Mm nmeshagombana na mtu tayari kuna maneno fulani yanaudhi sana unaamua kunyamaza tu
mwampepec JF-Expert Member Mar 22, 2013 487 237 Dec 27, 2016 Thread starter #3 Nokia83 said: Mm nmeshagombana na mtu tayari kuna maneno fulani yanaudhi sana unaamua kunyamaza tu Click to expand... jambo l msingi mweleze kuwa maneno yake yana maudhi halafu mwambie nimkusamehe
Nokia83 said: Mm nmeshagombana na mtu tayari kuna maneno fulani yanaudhi sana unaamua kunyamaza tu Click to expand... jambo l msingi mweleze kuwa maneno yake yana maudhi halafu mwambie nimkusamehe
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Dec 14, 2016 13,998 31,756 Dec 27, 2016 #4 Kusamehe ni sabuni ya nafsi