Amri hii nadhani itazamwe upya.

doppla2

JF-Expert Member
Jun 16, 2014
1,345
1,418
" Nilisia hapo kale ilinenwa usizini lakini mimi nawaambieni yeyote atakaye mtazama mwanamke kwa kumtamani amekwisha zini naye rohoni."

Upo kitaa mtoto mkali akikatiza huku nyuma ataacha majanga.

Ukiwa una drive ukipishana na watoto wazuri almanusra usababishe ajali mbaya zaidi awe na mbunye ya maana.

Siku hizi hata church wanakuja na min skirt wakianza kuimbisha pambio hapo utaanza kuona vijana wanatazama hapo kati......

Scenario ziko nyingi unaweza tupia hapa.

Hoja:

Ebu wakuu tuwage wakweli tu hivi kwa siku unazini mara ngapi?
 
Wengine wanazini Kwa kuona avatar....!


Imeandikwa,
Msiyachochee mapenzi, wala kuyaamsha, hata yatakapoona yenyewe....


Jicho likikushawishi vibaya, litoe...heri kuwa chongo....
 
Back
Top Bottom