Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,203
- 157,374
Sikukuu hii nilienda mkoa mmoja wa pembezoni. Hotel niliyofikia INA ukumbi mkubwa, wakaandaa disco Toto.
Watoto wa kike na wa kiume age kati ya 12 years hadi 18 wanakunywa soda wanachanganya na viroba.
Watoto wengine wanavuta sigara, vitoto vidogo vinanyonyana ndimi na kushikanashikana kingono, vinacheza miziki kingono, nilisikitika sana.
Ni vyema wazazi tujue wanetu wanakokwenda, wanaenda na nani na wanafanya nini