msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,886
Habari zenu wajameni,
Nimekuja kwenu kuleta kisa kilichonikumba leo, asubuhi nachomoka zangu mtaani nakutana na totoz ananyoosha mkono anataka lift, nasimama habari ya saizi kaka, salama mamboz vipi, poa namjibu, samahani wapi?
Naenda Posta namjibu, samahani naomba lift nami naenda huko huko, poa poa, ndani tunapiga stori mbili tatu, tunafika ananiambia nishushie hapo NBC poa poa.
Nafika NBC kabla hata sijasimama vizuri amefungua mlango anashuka khaaaaa, namuita dada dada dada angalau hata niombe no lakini wapi, hata kugeuka hajageuka, nikashangaaa daaaah kulikoni huyu dada ameona nini jamani mbona ananikimbia namna hii jamani.