msambaa mwenyewe
Member
- Aug 17, 2016
- 69
- 45
asalamu wana jf .. kuna shekh wangu huwa anapenda sana kuniomba ushauri juzi tulikuwa tunapiga story akaniambia"" mgosi unajua mm nina matatizo yaan msichana au mwanamke akiniita kwa jina langu rama huwa najiskia vibaya nahis hisia za mapenzi zina nijia na jamaa anasimama kabisa """ kwakeli nilishindwa humjibu nikamwambia subir nitakupa jibu huwa sisi tunapenda kumuita ustadhi na ndio jina ambalo watu wengi humuita kwalo
naombeni mwenye utaalamu wa hili au afanye nn hii hali isimtokee
karibun ninasubiri mchango wenu ni mfikishiee
naombeni mwenye utaalamu wa hili au afanye nn hii hali isimtokee
karibun ninasubiri mchango wenu ni mfikishiee