Endeleeni kusonga mbele

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
15,267
29,906
***ENDELEA KUSONGA MBELE***

Kobe, Kinyonga, Panya, Sungura, Chura na Jongoo wanatembea na wote hufika wanakokwenda ingawa kila mmoja wao ana kasi yake mwenyewe.

Kasi ya mtu mwingine isikutishe wewe na mafanikio yake yasikufanye wewe kupoteza amani, matumaini na nguvu katika kusonga mbele. Amini kila mtu ana riziki yake, na Mungu anampa kila mtu kwa wakati wake mwenyewe.

"Furahi katika Bwana naye atakupa haja za moyo wako." (Zaburi 37:4)

Endelea kusonga mbele!
 
Back
Top Bottom