Kupenda usipopendwa na kupendwa usipenda

KAJOBO

JF-Expert Member
Sep 2, 2014
407
348
Mapenzi ni kitu cha ajabu sana,
Unaweza kuta mtu amekupenda sana afu wewe unakuwa huna time naye,,, pia sometimes unaweza kuta umependwa sana na mtu afu wewe hujali hilo,

Vip ikitokea hali hiyo kwako utafanyeje?
 
Naimani always hakuna balance katika mapenzi na ndio maana kuna kuwaga na mambo ya kuchokana na usaliti hauishi!

Ukitaka ule bata katika mapenzi we mpe greenlight mtu anaekupenda kwa kiwango cha juu sana kuliko we unavyompenda.
 
unampenda anaekupenda
Si mpaka itokee sasa...Wengi wasanii siku hizi na ukitaka kujua kama hupendwi kweli kata benefits ghafla.

No airtime, no balance for beauty salon, no pocket money, no shopping, no balance for car gas.

Bakisha yale ya lazima tu kama kula vizuri na kulala vizuri, kupiga show za kibabe, na huduma bora ya kiafya uone kama huyo anaejitia anakupenda atabaki kuwa kama awali!
 
Hiyo niinshu ila kwamimi navyoona nibora upate unayempenda naaatayethamini upendo wako. Ukisema uwe naanayekupenda haliyakuwa wewe umpendi utakuwa ujajitendea haki
 
The title and content are two things different. Rudi karekebishe haraka, waliorespond wamechukulia poa.
 
kwani we umefanyaje ilivyokutokea , najua imeshakutokea na hii thread yako ya kuomba ushauri
 
Back
Top Bottom