Mpenzi wangu analilia nimnunulie gari kukwepa miluzi barabarani

mzibua chemba

JF-Expert Member
Jul 18, 2016
476
412
Asikuambie mtu presha ya mwanaume yoyote ipo pale anapojua kuna mbaya wake anataka kufaidi ile raha anayoipata yeye naumia kila niwapo faragha na mpenzi wangu nikiwaza vitu hadimu anavyonipa bila hiyana bila uchoyo na mchezo anavyouweza hadi nachanganyikiwa mtoto kweli mashalaaaa akitembea utadhani kadondoka hajazaliwa.

Mtoto kaja juu kuwa akitembea mitaani watu wanapiga kelele na miluzi sana kwa wingi kitu kinachomkera sasa kaja juu kua nimnunulie gari maana kazichoka hizi kelele nashindwa nifanyeje kwa kweli, naumia sana na nikiwaza tuu nahisi kuchanganyikiwa mimi.

Nifanyeje niudhibiti huu mzigo?
d40236dcddbc3259fa52294ae556d278.jpg
 
Asikuambie mtu presha ya mwanaume yoyote ipo pale anapojua kuna mbaya wake anataka kufaidi ile raha anayoipata yeye ...naumia kila niwapo faragha na mpenzi wangu nikiwaza vitu hadimu anavyonipa bila hiyana ,bila uchoyo,na mchezo anavyouweza hadi nachanganyikiwa mtoto kweli mashalaaaa akitembea utadhani kadondoka hajazaliwa ...mtoto kaja juu kua akitembea mitaani watu wanapiga kelele na miluzi sana kwa wingi kitu kinachomkera sasa kaja juu kua nimnunulie gari maana kazichoka hizi kelele nashindwa nifanyeje kwa kweli ..naumia sana na nikiwaza tuu nahisi kuchanganyikiwa Mimi ...nifanyeje niudhibiti huu mzigo?
d40236dcddbc3259fa52294ae556d278.jpg
Akili ya pesa utapataje wakati wawaza kumdhiti tu? Pole lkn watajaliwa wenye akili tu
 
unadhani gari ndio resistance..? mfanye akupende sana hiyo ndio strong resistance hata akikutana na sisi tukipiga milunzi 100 but you'll still her lovely one.
 
naona una target ya kupata ma Newton na Albert Einstein sio kwa msambwanda huo
 
Jitahid mkuu kuelewa lugha za hawa viumbe Hyo ni taarifa tu umepewa mtoto anataka kuhongwa gari hilo la miluzi ni sababu tu ya kukupa atention kuhusu hilo ombi lake lkn cha msing hapo ni gari inatakiwa kaz kwako kujiongeza ukiendelea kuzubaa atakuja kisebengo na vitz hapo utaachwa doro mwenyew hutaamin
 
tazama tena picha ya huyo dada, halafu fikiria hana hilo tako.
tazama maisha katika mwanga ulio bora.
 
Back
Top Bottom