Nina mpenzi ni mwanachuo nimekuwa name uhusiano nae mwezi mmoja tumeanza mahusiano alipotoka chuo kuja likizo yeye anasoma mzumbe Mimi ni mfanyakazi , nimekuwa nikimsaidia matumizi madogo madogo kama vocha na akiwa anashida na pesa nampatia , kwasasa nimesafiri mkoan nimekuja kusalimia wazazi ,
Mpenzi Wang kanipa wazo la kuanzisha biashara ya kufuga kuku nikamwambia wazo lake zuri lakini nani atawasimamia akanambia akienda chuo atawachia wazazi wake wasimamie , hapa Niko njia panda nimeshindwa kumuelewa amewezaje kunieleza haya yote wakati anajua Mimi sijatambulika kwao na lengo lake nini ,
Nahisi kama naibiwa hakuna mapenzi labda ananitumia tu, naitaji ushauri wakuu