Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hii kitu sasa hivi imeshika kasi sana. Wadada wengi sasa hivi wanachangamkia dawa wao wanaita ni ya kurudisha heshima. Ni dawa za kurudisha uke na kuufanya uwe mdogo mtindo wa bikra. Zamani...
5 Reactions
80 Replies
88K Views
Marhaban bial'asdiqa'. Natumai nyote mu buheri wa afya Jumapili ya leo. Hivi jamani, eti kwa mama mzazi wa kijana kumwuliza mpenzi wa kike wa huyo kijana wake kuhusu uwezo wake [kijana] wa...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Habarini Wadau, Kuna hali ya kutokujali na kutojielewa kwa baadhi ya wanaume kuwalinganisha mama zao na vitu / watu wengine. Imagine Mwanamke anakuambia, "Mwanaume gani unamsikiliza mama yako...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Binafsi niseme na kuanza kumshukuru Mungu kwa mke nilie nae mke bora na mama wa watoto wangu chipunga, helo na chipoku ukweli siku ya kwanza kumuona aliuchanganya sana moyo wangu mpaka kiasi...
15 Reactions
76 Replies
9K Views
Jamani hivi ni sahihi kwa wapenzi tena washazaa hadi watoto kukaa kutwa nzima hadi siku 2 bila kuwasiliana!??
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari zenu, jamani boyfriend anaekaa kwao anaboa ile mbaya...yani hata ukienda kumtembelea kwao mnaishia sebleni tu, mkikaa mnapiga story mara mamake kakatiza,no freedom,mkitaka kukutana in...
7 Reactions
218 Replies
17K Views
Jana katika kupiga stori mbili tatu na washkaji mtaani,akaja jamaa mmoja hivi akawa analalamikia hali ngumu ya maisha hivi sasa,alkasema mfano kipindi hiki mademu wapenda offer wanakunywa sana...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa wale wa nyimbo za taratibu na romantic tukutane hapa, liwe jukwaa la kushirikishana mambo mbali mbali yahusuyo Music huu ikiwa ni pamoja na kushare nyimbo zenyewe wale wenye hisia za aina hii...
1 Reactions
440 Replies
58K Views
Wana JF naomba tuchangie mada hii. Nimeianzisha kwa makusudi kwani ndoa nyingi za siku hizi zinakosa vichocheo muhimu, wanandoa wanachokana mapema mno, imethibitika kuwa mahusiano ya wakati wa...
2 Reactions
6 Replies
18K Views
Wenye kuzungumza usingizini huwa kawaida hawasemi yenye kueleweka. Lakini wakati mwengine wanaweza wakasema mambo ambavyo yanachekesha sana. Kipindi namtembelea binamu yangu huko kona za jijini...
10 Reactions
44 Replies
7K Views
Nijuze wanajukwaa,hivi mume na mke kutembea barabarani wakiwa pamoja( wakati mwingine wamempakata mtoto)',kanisani wote, mvua au jua wore in UPENDO WA DHATI AU DANGANYA TOTO!!!
1 Reactions
74 Replies
6K Views
Nina miaka 30,ila sijihisi wala kuishi umri huo! Na kila ninapoamka au kulala i feel am 20yrs old! Kuna watu wana hali kama yangu!? Umbo ni dogo,na inapotokea nikaulizwa umri,nikataja 30,wengi...
4 Reactions
131 Replies
11K Views
Nimebahatika kuoa mke tukabahatika kupata watoto wawili mapacha wa kike na wakiume tunamiaka 10 ndani ya ndoa tatizo linalonisibu niliyumba katika biashara zangu kwakua Mimi nidalali wakuuza...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Kuna mademu juzi wamehamia hapa karibu na nyumbani wazuri vibaya mno nilivyowaona tu nikasema lazima nimtongoze mmoja Leo nimetoka zangu kanisani sijaamini macho yangu nimewakuta wale mademu...
8 Reactions
70 Replies
7K Views
Nimefikia hatua za awali za kuasili mtoto, naombeni ushauri nichukue kachanga kabisa au wa kuanza shule at least 3yrs? Pili nichukue ka kike au ka kiume? Napenda ka kiume ila nikikumbuka maswaibu...
3 Reactions
200 Replies
13K Views
Kuna wakati hutokea wanawake wakateswa sana kwenye uhusiano wao wa kindoa au kimapenzi na bado wakaendelea kukaa tu kwenye uhusiano huo. Inafikia hadi mtu anakufa huku akiona kabisa. Watu wengine...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Habarini! Juzi nilikuwa niko na mpenzi wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa mwezi wa sita. Katika kupiga stori nikawa namuonya juu ya jambo fulani.du mwanamke saa ngapi asianze kkumbushia eti...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Imekuwa ni kero kwa hawa dada zetu siku hizi.wamekuwa kama maombaomba wa kutegemea pesa kwa wanaume.haijulikani yupi muuzaji na yupi si muuzaji,wote wanapenda hela na si mapenzi ya...
19 Reactions
98 Replies
11K Views
Hello, First of all, I'm yet 2 be successful (according to my standards). My story IPO hivi Sahiv nasoma chuo abroad (nje ya Africa), lakini kabla ya hapa nlikuwa na soma chuo bongo, chuoni...
5 Reactions
65 Replies
7K Views
Jinsi ya kumpatia mwanamke ujauzito cku zinanichanganya ushauri plzzzzz wananzengo
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…