Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Seriously kwa aliye tayari ani pm. Natafuta mchumba, sifa ni kama zifuatazo; . Awe binti asiyezidi miaka 28 . Mrefu kiasi . Mwembamba si lazima sana ili hata akija nenepa asiwe tinginya . Elimu...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Niliingia Katika uhusiano na Msichana Mmoja nikafanikiwa kufanya nae mapenzi sasa cha ajabu kila nikiwa nachati naye nikawa namwambia amsalimie mdogo wake akawa ana mind ooh inaonekana unampenda...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau kuna nyimbo naipenda, ni zilipendwa na inapigwa sana kwenye live band. Wanaiita AFRO. Sina hakika kama ndio jina au la. Naomba kujua imepigwa na nani na mwenye nayo naomba aniwekee...
1 Reactions
17 Replies
8K Views
Wazazi wangu hawataki nioe mchagaa wakati ndo nampenda,wanataka nioe tofauti na mchagaa (mmarangu)wakati nampenda sana huyu msichana kwani anasifa zote za kuwa mke.Na ukizingatia umri wangu wa...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Bwanaharusi Samwel Makalobo akivishwa pete ya ndoa na Mke wake Given Mgaya katika Kanisa la K.K.K.T Usharika wa Isanga jijini Mbeya. Picha na Keneth Ngelesi . HATIMAYE lile tukio lililovuta hisia...
2 Reactions
155 Replies
17K Views
Siku moja nilienda kung'oa jino kwenye hospitali moja hapa town kwetu,kwa bahati kumbe anayehusika na shughuli hiyo ni dada mmoja wa kichina nikapewa huduma nakuondoka,baada ya shughuli ile...
6 Reactions
102 Replies
11K Views
Nina rafiki yangu niliwahi kukaa nae hapa kwangu sasa alishahama muda tu sasa ana goma lake limeshakujaga hapa maqa kadhaa. Sasa muda si mrefu kaja kama amelewa ivi na mvua inanyesha kaja kalowa...
0 Reactions
65 Replies
7K Views
Haiwezekani Watot wazur Kama hawa Afrika hamna watu wa kuwatafuna kisawasawa.. Tumefail mengi lakini hili Jamani Wanaume Waafrika tunaliweza jamani Hili halihitaji technolojia.. Ni kurudi kwenye...
3 Reactions
80 Replies
10K Views
Matumaini yangu mko pouwaaa, na maandalizi ya sikukuu zilizo mbele yetu. Mimi ni kijana wa kiume miaka 27, Elimu diploma. Ninaishi Dar es Salaam japo sio mzawa. Ni Mkristo RC Natafuta mpenzi...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
UTAFITI: Mwanamke Huota Tofauti Na Mwanaume Wanasema mwanamke na mwanaume ni tofauti kwenye baadhi ya mambo, kimaumbile. Lakini, sio yale mambo yenye kuonekana peke yake, kwani imebainika sasa ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarini wanaMMU, Nimependa kuShare nanyi maisha ya wanachuo walio wengi ambayo ni uzinzi,ulevi bila kusahau Disco usiku kucha. Ni hatari sana maisha hayo. Kama ulipitia maisha hayo tupe...
6 Reactions
112 Replies
18K Views
Nina maisha yangu fresh..niko lonely..umri 39...ninayemtafuta awe na maisha yake fresh,anajielewa na ana shepu"kafungashia"..ukiwa serious ni pm..ni kuliwazana tu sio kulizana p'se...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Habar wana MMU Jana kuna kamanzi nilikatupia maneno ya moyoni kuwa nakapenda sasa kila nikiweka kanaruka viunzi eti kanadai kuwa kako na mtu tayari. Swali linakuja, hivi nikionana nako naweza...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Hi!to All. Eti wadau kwanini kufanya mapenzi au kuchumu kati ya wapenzi wawili ndio huchuliwa kawa namna ya kuagana??? Kuna umuhimu gani kufanya hivyo??? "mapenzi upofu kweli!!!"
2 Reactions
107 Replies
14K Views
Mchumba wangu ananifanyia yafuatayo japo anasema ananipenda 1:Yupo Whatsapp online lakini hata meseji anitumie 2:Yupo Facebook online niki mtumia text ajibu 3:Tukigombana kidogo ananiambia...
1 Reactions
128 Replies
11K Views
Nilikua nasoma primary kuna kijana alikua akinisumbua sana kunitaka kimapenzi ,tulikua tunasoma darasa moja na mkondo mmoja,,alikua akinisumbua ananiandika kwenye majina ya wapiga kelele hata kama...
11 Reactions
161 Replies
13K Views
JE bado niamini kuwa ananipenda Ukirejea uzi huu wa Juu nimeamua kuachana na Mchumba wangu rasmi ila nimejifunza Yafuatayo 1:Usiamini chozi la Mwanamke -kwa hata mimi alinililia nikajiona napendwa...
6 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari zenu wana jukwaa, hivi inakuaje mwanaume anakua tegemezi?? Nna huyu boyfriend naona sasa amezidi, ukweli ni kwamba Mimi nna hela na sioni shida kumpa chochote ila tunakoelekea naona anaona...
4 Reactions
101 Replies
9K Views
Jana mida ya saa nane nikiwa maeneo ya Sinza kwa Meeda, nilipiga bia zangu kadhaa, pembeni nikamuona binti mrembo, nikabonga naye akaonekana katokea nje ya Dar na ni mgeni, nikakubaliana naye...
5 Reactions
32 Replies
7K Views
Nipo Singida nimeajiriwa umri wangu 25yrs natafuta mchumba awe na umri wa 23 awe kazi inayomuingizia kipato nicheki kupitia 0745645518.
0 Reactions
2 Replies
781 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…