Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,510
- 23,909
Hakuna mwanaume mkorofi kwa mwanamke mnyenyekevu,hata ungekua umemkosea nini ukijishusha ukanyenyekea analainika, labda awe na mapepo ndiyo unyenyekevu wako hautaugusa moyo wake.
mume agombezwi, mume afokewi, mume afanyiwi kiburi wala jeuri, akinuna na wewe unanuna mpendwa utaipoteza ndoa yako. Ni mume wako wa ndoa unaruhusiwa kumng'ang'ania kama ruba,hakuna mke anayeambiwa anajipendeza kwa mumewe ni haki yako, ni wajibu wako utimize!!