Wanawake kuwa na mtoto anayelelewa na baba wa 3 au 2 ndio tamaa za pesa au ndoa?

sawe4u

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
980
1,000
Ndugu zangu, vijana wa kiume muwe makini sana haya ninayoyasema sio ya kusikika nimeyaona na yamenikuta yapo mimi ndio bilgc father.

Kwanini wasichana wa karne hii hasa wenye kazi (check no ) mnapopata mimba mnawashirikisha wanaume ulikuwa nao wote katika mahusiano wanalea mimba hadi mtoto anakuwa huwa mnawaza nini kuwa na mtoto ambae ana baba wa 3/2 tatizo ni pesa au ndoa mnayotaka kuongeza uwezo wa kuolewa kat ya hao wanaume wanajua wamekuzalisha.

Naomba tupeane akili najua kama vijana kuna ambao yamewakuta yanawahusu sema kutokujua tu ?
 
Leo-live Wire

JF-Expert Member
Jul 22, 2013
365
250
ndugu zangu vijana wakiume muwe makini sana haya ninayoyasema sio yakusikika nimeyaona na yamenikuta yapo Mimi ndio bilgc father.

Kwann wasichan Wa karne hii hasa wenye kazi (check no ) mnapopata mimba mnawashiriksha wanaume ulikuwa nao wote katk mahusiano wanalea mimba hadi mtoto anakuwa huwa mnawaza nn kuwa na MToto ambae ana baba Wa 3/2 Tatzo ni pesa au ndoa mnayotaka kuongeza uwezo Wa kuolewa kat ya hao wanaume wanajua wamekuzalisha .....

Naomba tupeane akil najua kama vjana kuna ambao yamewakuta yanawahusu sema kutokujua tuu ....?
Kuna papuchi moja nlipiga then nkasafiri baada ya mwezi nkapigiwa simu "baby"nina mimba

Mimi:eek:k
Tapeli:sasa siunajua me now sina kazi inabidi uwe unatuma za matumizi walau mtoto tuanze kumlea vizuri.

Mimi:nitahusika Na gharama za hospitali tu Na si kingine unless Paka nimwone mtoto ni wa Kwangu tena upige passport nkukatie bima sitokupa pesa taslimu.

Tapeli:sawa

Baada ya Miezi minne

Mimi:Mbona hizo pasport hutumi?

Tapeli:nakusubiri uje

Baada ya mwezi

Mwanamke mimba hana.

Tuwe makini Sana wanawake wamejawa Na tamaa za kila aina wengine wapo radhi kusingizia hadi mimba ili tu wapate hela Kumbe mimba zingine hewa.
 
Entim

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
3,927
2,000
Nyinyi wanaume ndo wehu, waache akina dada warelux sasa mezidi, hadi natamani kuzikatia chini hivyo vibamia vyenu vya bao moja visivyokuwa na tija.
Waache akina dada ata wakisingizia wanaume 15 siyo mbaya, mtoto wa mwenzio ni wako, kama siyo wako basi kuna wako analelewa mahali.
 
Idofi

JF-Expert Member
Dec 14, 2010
1,998

hivi ukimwi umeisha
 
Sosthenes Maendeleo

Verified Member
Oct 24, 2012
2,574
2,000
Kuna siku nilikamata msg kwenye simu ya demu wangu ikisema "kumbe hata mimba iliyotoka haikuwa yangu" wakati hata mimi pia alisema ni mimba yangu nikaikubari na kugharamia pia next three month naambiw mimba imetoka na alilazw hospitali angali na mimi nilikuwepo ila sikujua chochote. Tangu nione msg nimemchukia sana tema me yenyew ni bodaboda! F*ken
 
data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
22,694
2,000
Nyinyi wanaume ndo wehu, waache akina dada warelux sasa mezidi, hadi natamani kuzikatia chini hivyo vibamia vyenu vya bao moja visivyokuwa na tija.
Waache akina dada ata wakisingizia wanaume 15 siyo mbaya, mtoto wa mwenzio ni wako, kama siyo wako basi kuna wako analelewa mahali.
sasa 'vibamia' vimekujaje hapa tena..!??
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom