Wazungu wakija bongo huchukua wasichana tunaowaona wabaya

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,897
2,000
Hawa jamaa huwa wana makengeza au?!;???
Au unakuta ndada kaopolewa na lijamaa lichafuuuu
Nini huwakumba hawa viumbe?
 

mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
3,165
2,000
Kabla ya kuja Bongo wanapigwa semina, lkn kikubwa wanaaminishwa Africans wana full disease. So as long as wanajua saikolojia yetu ya me na ke machaguo yao ya Manzii ama Chalii yanajielekeza kwa zile species ambazo kibongo bongo hazipendwi, na hivyo hizo species hazina upinzan ktk ngono then zina Low risk ya STDs. You get me mdau! Mdada wa kidhungu mfuate na usmart wako wa kuchomekea, kiatu moka, na nywele umenyoa kisabato atakutoa nduki. Lkn ukimvizia na kata mbuga, jinsi iliyochakaa kwenye magoti na nywele msokoto hata neno hutii papuchi hiyooo.
 

permanides

JF-Expert Member
May 18, 2013
4,477
2,000
Hawa jamaa huwa wana makengeza au?!;???
Au unakuta ndada kaopolewa na lijamaa lichafuuuu
Nini huwakumba hawa viumbe?
Wakati wabongo wakijikita katika sura na maumbo wao wanaangalia upatikanaji wa huduma za line mbili
 

Umenitoa Gizani

JF-Expert Member
Dec 3, 2016
388
250
Wanapenda MTU asiye na pawa wakumburuza na atskayekop na ushenzi wao haraka. Hupenda wanawake wa pwani Tanga Zmtwara nk
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom