Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,906
NDIO MUNGU ANAWEZA KUKUSHANGAZA
Chukua mfano huu mdogo utajifunza kitu
1999 : Brazil 4-0 Germany
2002 : Brazil 2-0 Germany
2004 : Brazil 1-1 Germany
TOTAL = BRAZIL 7-1 GERMANY
LAKINI MWAKA 2014
Brazil 1 - 7 Germany
"Ulichokipoteza/kukikosa kwa miaka mingi ukiwemo Na huu 2016 Kinaweza kirudishwa/kupatikana kwa siku moja tu, #Bwana_hajakusahau_kamwe, anao mpango juu yako, anavyokutazama ni tofauti Na mwanadam akutazamapo, [HASHTAG]#MWAMINI[/HASHTAG]
Bwana akutendee mema daima! Barikiwa
Na Ambiele Kiviele