Mrejesho: Kwanini wanawake wanakuwa desperate na ndoa?

supercharger GT

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
842
1,000
Kwanini wanawake wanakuwa desperate na ndoa?

Juzi hapa nilipost kisa changu nikielezea hilo suala. Wengi walishiriki maoni ambayo kweli yalikuwa positive sana na ndo vile vile ambavyo hata mimi nilikuwa nafikiria.

Leo mchana niliamua kuonana na yule binti coz kwanza sina tatizo naye na pia namfahamu vizuri sana hivyo pia mimi suala hili nilikuwa nalichukulia uzito nikijua kuwa lazima litaleta matatizo mbeleni endapo mume wake angejua kuwa huyu binti anataka kulamba cha zamani(maana pia huyu binti huwa hana umakini na simu yake na huwa hana tabia ya kufuta sms au calls) na pia angeona sijachukua hatua yoyote kwa mambo anayotaka mkewe;

twende moja kwa moja kwenye mada

Kuanzia asubuhi tulikuwa tunachat kawaida tu ila wakati mwingine akiweka yale mambo yake, katika majibu yangu nikamwambia atafute muda anaoona unafaa leo tukutane mahali palipotulia nina maongezi naye marefu, kwanza akaogopa akidhani huenda nimewasiliana na mume wake, nikamtoa hofu kwa kumwambia kuwa sina hata namba yake huyo jamaa basi akasema tukutane mchana mahali fulani pametulia.

Mchana nikawahi eneo hilo nikaagiza bia yangu nikawa nashusha mdogo mdogo(huu mji wetu watu wanakunywa tu tangu asubuhi kama vile hakuna ile sheria). Baada ya muda akaja akiwa kavaa vizuri sana kwa style ambazo tukiwa wapenzi nilikuwa napenda avae namna hiyo!! Kufika tu akawa anaona aibu kuongea hata salamu yenyewe katoa kwa kuangalia chini, nikaona nimuagizie nayeye Castle lite ili awake kidogo maana ni kichwa panzi ila anapenda kuonekana shujaa kwenye mambo mengi. Basi tukawa tunaendelea na maongezi ya kawaida kabisaa bila lile suala kuligusia, ikafika muda nikaona aibu zimeanza mtoka akaanza kuongelea mambo ya ndoa yake, na alipokuwa anaongea anaonekana kabisa kama anatua mzigo fulani mzito moyoni mwake, na kumbuka hapo mimi hata sijamuambia kuwa nimemuitia maongezi gani!!! Alianza kwa kunitaja jina langu, halaf akasema " yaani ningejua ningesikiliza hata maneno ya marafiki zangu kuhusu John, sijui alinifumba nini nikawa kipofu kabisa nisione lolote nikatamani tu kuitwa mke wake" baada ya hapo akafunguka sasa!!!!!! Kwa kwel mambo aliyonisimulia nilihisi ananidanganya, nikawa namkatalia kuwa anamsingizia mumewe, akachukua simu yake na kuanza kunionesha sms za mume wake, na evidence zingine kwa kweli nilichoka! Sometimes na sisi wanaume tunachangia 100% wanawake kucheat nje ya ndoa. Mambo hasa aliyonisimulia mpaka yamefikia yeye kuanza kutamani kuwa na mimi upya ni;

1: mwanaume anajali sana pesa kuliko utu au thamani ya mke mwenyewe, anaweza mnunulia hata bangili bahat mbaya ikipotea bas ni kipigo na mwisho wa siku anakuwa anamkemea kwamba anajua kainunua kwa bei gani? ( na anasema mume wake anajua kwel kupiga, kitu kidogo tu basi ni mrahisi kurusha kofi kama sio ngumi)

2: hataki afanye kazi, anataka awe anakaa tu nyumbani(huyu dada ana Diploma ya nursing)

3: jamaa ana wanawake kibao nje ambao inafika mahali had anakuwa anawatambua, ila cha ajabu ni kwamba hata wakati anaolewa naye alikuwa anajua kuwa ana wapenzi nje(hapa sikumuelewa na nilimshangaa sana kwa kwel)

4: Hapa ndo alinichekesha, kwamba mume wake anaweza kaa hata mwez mzma hajamgusa kabisaaa, na bado hana muda hata wa kuongea nae vzur, yeye akiamka ni kazini tu na mambo mengne, ila akiwa na hitaji la pesa anapewa kiasi anachotaka ila ajue jamaa hatasahau hyo pesa alompa!

5: Wivu ulopitiliza, anataka muda wote awe nyumbani, asiwe na marafiki wa kike wa ajabu ajabu, hataki akasuke salon ikitokea bas ni shingo upande.

6: Attention, na affection zile. Mwanaume hayupo romantic hata kidogo, hajui mke anataka nini kwa sasa, zaman anasema alikuwa anajaribu kumuambia ila mume anamjibu kuwa ana mambo ya kitoto

Evidence alizonionesha kwenye cm yake ni pamoja na sms ambazo yeye anamlalamikia kwanini hampi haki yake na jamaa anajibu kwamba mwanamke huyo anapenda sana ngono kuliko kitu chochote, na mambo mengne mengi ambayo siwezi yaandika humu yote!

Baada ya hapo, jambo nililomshauri ni aongee nae hali halisi na amueleze madhara yanayoweza tokea kama hatojirekebisha, pia amuambie wazi kuwa kwa mume wake kufanga hvyo kunahatarisha ndoa yake ikiwemo kuvunjika kabisa.
Akifanya hvyo na kama hakuna mabadiliko basi ahusishe viongozi wa dini au wazazi!

Mrejesho huu nimeona niulete humu kwa ajili yetu wanaume, ingawa na wanawake pia, ila kwa case kama hii tunaona kabisa nani ni Victim hapo!
 
Eddy Love

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
13,145
2,000
kama ndoa yake kashndwa imudu basi hata wewe anaweza kukukimbia,anasahau kuwa wajibu wa mwanamke ni kumuweka mumewe kwenye mstari ulionyooka ikiwa amepoteza dira
 
Eddy Love

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
13,145
2,000
kama mwanamke huwezi kubadili tabia ya mwanaume wako basi haufai kuwa mwanamke
 
tozi25

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
5,955
2,000
Hakuna ex-wangu hata mmoja aingie kwenye zone zangu nimwache hivi hivi bila ya kumgegeda. Nimpe ushauri kwani mie Pastor au Sheikh?

Ndukiiiii
 
Eliza Green

Member
May 30, 2016
16
45

Mimi napita tu
 
Ficus

JF-Expert Member
Jul 14, 2013
1,448
2,000
kama mwanamke huwezi kubadili tabia ya mwanaume wako basi haufai kuwa mwanamke
Kubadili tabia ya mtu uliyekutana naye kwenye utu uzima sio kazi rahisi.
Ndio maana kuna taaluma yake watu wanasomea hadi miaka mitano lakini bado wanashindwa.
 
usser

JF-Expert Member
Sep 25, 2015
12,045
2,000
Dhuuu kuna wakat wanaume tunawalaumu wake zetu lakin sometimes mattz mengne tunayaleta wenyw
 
PesaNdogo

JF-Expert Member
Jun 19, 2013
1,996
2,000
kama mwanamke huwezi kubadili tabia ya mwanaume wako basi haufai kuwa mwanamke
Kama mwanaume bomu ni bomu, mwanamke asibebeshwe zigo LA mtu mzima anayejiamlia, ni ujinga kudhani utaweza kubadili mtu aliyeamua kuwa muovu na hana nia ya kubadilika.
Alifeli alipodhani kuolewa ni Dili la fasta fasta hivyo avumilie ushenzi wote
 
mashishanga

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
612
500
Kama mwanaume bomu ni bomu, mwanamke asibebeshwe zigo LA mtu mzima anayejiamlia, ni ujinga kudhani utaweza kubadili mtu aliyeamua kuwa muovu na hana nia ya kubadilika.
Alifeli alipodhani kuolewa ni Dili la fasta fasta hivyo avumilie ushenzi wote
Hili la msingi kama muolewaji anadhani IPO cku atambadilisha mumewe na Tabia zake asahau, wengine wamerishi kutoka katika familia zao,wengine makund ya marafik yamewaribu, wengine ni Tabia zao hazibadiliki
 
balibabambonahi

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
8,751
2,000
Kwanini wanawake wanakuwa desperate na ndoa?

Juzi hapa nilipost kisa changu nikielezea hilo suala. Wengi walishiriki maoni ambayo kweli yalikuwa positive sana na ndo vile vile ambavyo hata mimi nilikuwa nafikiria.

Leo mchana niliamua kuonana na yule binti coz kwanza sina tatizo naye na pia namfahamu vizuri sana hivyo pia mimi suala hili nilikuwa nalichukulia uzito nikijua kuwa lazima litaleta matatizo mbeleni endapo mume wake angejua kuwa huyu binti anataka kulamba cha zamani(maana pia huyu binti huwa hana umakini na simu yake na huwa hana tabia ya kufuta sms au calls) na pia angeona sijachukua hatua yoyote kwa mambo anayotaka mkewe;

twende moja kwa moja kwenye mada

Kuanzia asubuhi tulikuwa tunachat kawaida tu ila wakati mwingine akiweka yale mambo yake, katika majibu yangu nikamwambia atafute muda anaoona unafaa leo tukutane mahali palipotulia nina maongezi naye marefu, kwanza akaogopa akidhani huenda nimewasiliana na mume wake, nikamtoa hofu kwa kumwambia kuwa sina hata namba yake huyo jamaa basi akasema tukutane mchana mahali fulani pametulia.

Mchana nikawahi eneo hilo nikaagiza bia yangu nikawa nashusha mdogo mdogo(huu mji wetu watu wanakunywa tu tangu asubuhi kama vile hakuna ile sheria). Baada ya muda akaja akiwa kavaa vizuri sana kwa style ambazo tukiwa wapenzi nilikuwa napenda avae namna hiyo!! Kufika tu akawa anaona aibu kuongea hata salamu yenyewe katoa kwa kuangalia chini, nikaona nimuagizie nayeye Castle lite ili awake kidogo maana ni kichwa panzi ila anapenda kuonekana shujaa kwenye mambo mengi. Basi tukawa tunaendelea na maongezi ya kawaida kabisaa bila lile suala kuligusia, ikafika muda nikaona aibu zimeanza mtoka akaanza kuongelea mambo ya ndoa yake, na alipokuwa anaongea anaonekana kabisa kama anatua mzigo fulani mzito moyoni mwake, na kumbuka hapo mimi hata sijamuambia kuwa nimemuitia maongezi gani!!! Alianza kwa kunitaja jina langu, halaf akasema " yaani ningejua ningesikiliza hata maneno ya marafiki zangu kuhusu John, sijui alinifumba nini nikawa kipofu kabisa nisione lolote nikatamani tu kuitwa mke wake" baada ya hapo akafunguka sasa!!!!!! Kwa kwel mambo aliyonisimulia nilihisi ananidanganya, nikawa namkatalia kuwa anamsingizia mumewe, akachukua simu yake na kuanza kunionesha sms za mume wake, na evidence zingine kwa kweli nilichoka! Sometimes na sisi wanaume tunachangia 100% wanawake kucheat nje ya ndoa. Mambo hasa aliyonisimulia mpaka yamefikia yeye kuanza kutamani kuwa na mimi upya ni;

1: mwanaume anajali sana pesa kuliko utu au thamani ya mke mwenyewe, anaweza mnunulia hata bangili bahat mbaya ikipotea bas ni kipigo na mwisho wa siku anakuwa anamkemea kwamba anajua kainunua kwa bei gani? ( na anasema mume wake anajua kwel kupiga, kitu kidogo tu basi ni mrahisi kurusha kofi kama sio ngumi)

2: hataki afanye kazi, anataka awe anakaa tu nyumbani(huyu dada ana Diploma ya nursing)

3: jamaa ana wanawake kibao nje ambao inafika mahali had anakuwa anawatambua, ila cha ajabu ni kwamba hata wakati anaolewa naye alikuwa anajua kuwa ana wapenzi nje(hapa sikumuelewa na nilimshangaa sana kwa kwel)

4: Hapa ndo alinichekesha, kwamba mume wake anaweza kaa hata mwez mzma hajamgusa kabisaaa, na bado hana muda hata wa kuongea nae vzur, yeye akiamka ni kazini tu na mambo mengne, ila akiwa na hitaji la pesa anapewa kiasi anachotaka ila ajue jamaa hatasahau hyo pesa alompa!

5: Wivu ulopitiliza, anataka muda wote awe nyumbani, asiwe na marafiki wa kike wa ajabu ajabu, hataki akasuke salon ikitokea bas ni shingo upande.

6: Attention, na affection zile. Mwanaume hayupo romantic hata kidogo, hajui mke anataka nini kwa sasa, zaman anasema alikuwa anajaribu kumuambia ila mume anamjibu kuwa ana mambo ya kitoto

Evidence alizonionesha kwenye cm yake ni pamoja na sms ambazo yeye anamlalamikia kwanini hampi haki yake na jamaa anajibu kwamba mwanamke huyo anapenda sana ngono kuliko kitu chochote, na mambo mengne mengi ambayo siwezi yaandika humu yote!

Baada ya hapo, jambo nililomshauri ni aongee nae hali halisi na amueleze madhara yanayoweza tokea kama hatojirekebisha, pia amuambie wazi kuwa kwa mume wake kufanga hvyo kunahatarisha ndoa yake ikiwemo kuvunjika kabisa.
Akifanya hvyo na kama hakuna mabadiliko basi ahusishe viongozi wa dini au wazazi!

Mrejesho huu nimeona niulete humu kwa ajili yetu wanaume, ingawa na wanawake pia, ila kwa case kama hii tunaona kabisa nani ni Victim hapo!
Haukumfanyia maombi ya baba padre?
 
Bila shuka

JF-Expert Member
Oct 14, 2014
601
500
Afanye wajibu wk km mke
Mwanaume ata atembee n wanawake 1000 haitwi malaya ila mwanamke akitembea n wanaume zaidi ya 5 anaitwa Malaya
Mwanamke hawezi toka nje n kusimulia aibu za nyumba yk uyo Bado hajafunzwa unyagoni
Lamsingi uyo mwanamke amtilie mumewe box la kondom tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom