AL SADY OLPLANER
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 294
- 211
Katika pilika pilika zangu leo nilitoka alfajir na rafiki yangu Hussein kwenda kwenye biashara zetu.
Tuliacha kila mmoja alikwenda mitaani ndipo nimegundua ya kuwa mapenzi ya siku hzi uongo mtupu tu na nimzigo kwa wanaopendana.
Mimi ni muuza samaki wa kutembeza nyumba hadi nyumba ila leo muda wa saa 3 am nilipitaa mtaa mmoja nilichokiona kilinishangaza sana nilimkutaa shemeji yangu mke wa rafiki yangu kaolewa mwezi uliopita tu.
Mumewe ndio huyu rafiki yangu nilitoka naee asubuhi kwenda kutafuta riziki ndoo hizi biashara zetu za samaki yeye huwa anatembezea mitaa ya kiwalani mimi huwa natembezea mtaa wa nyumbani sasa .....sijajua shemu NYUMBA ya jirani anafanya nini asubuhii hiii.
JE KALALA WAPII ASUBUHII HII.
NAOMBENI USHAURII NIFANYAJEE SHEMEJI NIMEMUONA JEE NIKAMWAMBIEE RAFIKI YANGU AU...