Nini kinatokea 'ukimpotezea' mwanamke?

Izzi

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
553
1,133
Niliwahi kusoma 'utani' mahali kwamba; Kama unataka 'kumuua' mwanamke, basi mwambie unampenda kisha usiongee nae tena!!(Tell her you love her,then ignore her!)

Lakini, je ni kweli mwanamke 'anaekushobokea' ukimpotezea anazidi kukushobokea zaidi?

Vipi kuhusu wanaume; mwanamke unampenda lakini anakupotezea licha ya kumwonyesha unampenda, je utazidi kuumia juu yake au?

*Can this trick be used to make women/men get attracted to you?
 
81226a553bf824a593bbcb2505f66d19.jpg
 
Eeee bwana eee mimi nina experience na hicho kitu. Sema sijui unamaanisha nini by kumuua, kumuua kweli au kumuua kumuumiza? Anyway mimi nimeelewa kumuumiza.

Siku zote huwezi kufight na nature, women are wired differently from men. Wanawake wapo more emotional than wanaume, kwa maana hiyo mwanaume akimwambia mwanamke anampenda, mwanamke anaanza kua attached, hata kama hakupendi. That's how they are. Baada ya muda atadevelop feelings tu, ni lazima. Kwani wanaume wangapi wamekuwa na ubavu wakumtamkia hivyo. Women love confidence.

Je ukimpotezea? Hapa sasa unatakiwa utumie akili, sio kwamba eti umemuona mwanamke leo ukamwambia unampenda alafu ukampotezea, na yeye atakupotezea tu. Lakini kama ulikuwa karibu nae, kwa maana ya urafiki, mnaongea wote etc, ukamwambia unampenda alafu later on ukaanza kua distant, mawili yanaweza kutokea... A) anaweza kukupenda zaidi, siku zote sisi binadamu tunapenda vitu tusivyo kuwa navyo. Mfana wewe uliitamani sana iPhone 6, umepata hela umenunua lakini utaipenda iPhone 7 kwa maana hauna hela, ukiipata utaichoka utapenda kingine amabacho hauna. B) anaweza kukuchukia vibaya sana. Hii sijawahi experience wala kuona. Actually A is more common.

TL;DR women love challenges, if you are too nice on her she will lose interest. Nasikia hata kwenye marriages na relationships you have to be distant muda flani, ilikukeep the fire burning. Kwa niliyoyaona mi naona atakupenda zaidi, anaweza asionyeshe but moyoni atakupenda tu. That's nature. Anyway on my side I am playing a dangerous game huyu Dada niliye nae sasa hivi siwezi kumpotezea, I hope nature won't take its course akanichoka

UPDATE: plus you never ask a fish how to fish. Kwa maana usiwaulize wanawake how to attract them, ask the fisher man

-callmeGhost
 
Mostly wanaume wengi hua hatuhangaiki na vita ambayo tunajua tutashinda. Tunahangaikia vita ambayo nafasi ya kushinda ni ndogo.

Vita ambayo nina uhakika nayo naweza kuipotezea nikijua siku yoyote nikienda kupambana nitashinda tu, siwezi kuthubutu kuipotezea vita ambayo sina uhakika na chances are slim.
 
Kumpotezea?????

Huo UJINGA SINA KUBABAKE.....
Nikisha mwambia "I love you" akiingia mkenge tuu, sikawizi namgonga nambanjua then namtema nasepa mbele.....
Wanawake ni wa kugongwa tuu... Tunawagonga tuu..

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
We engineer unaonekana umewageuza wanawake kama vifaa vyako vya kazi maana mkuu nimefuatilia comment zako nyingi ni kugonga na kusepa anyway dunia imechange bora tafuta mmoja utulie au ikiwezekana oa kabisa mkuu maana wanawake huwez kuwakomoa sana sana utaumia mwenyewe, unakumbuka juzi tu ulikuwa unalia ex- girlfriend wako amekutia hasara so be...
 
Kumpotezea mwanamke kupo ila inategemeana na yy feeling zake kwako kama zipo au la, kama hana feeling zozote kwako alafu ndio umempotezea ataona poa tu umempunguzia usumbufu ila kama na yy alikuwa na feeling juu yako itamuumiza na atajaribu kujirudi, kuwa karibu na ww tena au kujua sababu ya ww kumpotezea
 
Eeee bwana eee mimi nina experience na hicho kitu. Sema sijui unamaanisha nini by kumuua, kumuua kweli au kumuua kumuumiza? Anyway mimi nimeelewa kumuumiza.

Siku zote huwezi kufight na nature, women are wired differently from men. Wanawake wapo more emotional than wanaume, kwa maana hiyo mwanaume akimwambia mwanamke anampenda, mwanamke anaanza kua attached, hata kama hakupendi. That's how they are. Baada ya muda atadevelop feelings tu, ni lazima. Kwani wanaume wangapi wamekuwa na ubavu wakumtamkia hivyo. Women love confidence.

Je ukimpotezea? Hapa sasa unatakiwa utumie akili, sio kwamba eti umemuona mwanamke leo ukamwambia unampenda alafu ukampotezea, na yeye atakupotezea tu. Lakini kama ulikuwa karibu nae, kwa maana ya urafiki, mnaongea wote etc, ukamwambia unampenda alafu later on ukaanza kua distant, mawili yanaweza kutokea... A) anaweza kukupenda zaidi, siku zote sisi binadamu tunapenda vitu tusivyo kuwa navyo. Mfana wewe uliitamani sana iPhone 6, umepata hela umenunua lakini utaipenda iPhone 7 kwa maana hauna hela, ukiipata utaichoka utapenda kingine amabacho hauna. B) anaweza kukuchukia vibaya sana. Hii sijawahi experience wala kuona. Actually A is more common.

TL;DR women love challenges, if you are too nice on her she will lose interest. Nasikia hata kwenye marriages na relationships you have to be distant muda flani, ilikukeep the fire burning. Kwa niliyoyaona mi naona atakupenda zaidi, anaweza asionyeshe but moyoni atakupenda tu. That's nature. Anyway on my side I am playing a dangerous game huyu Dada niliye nae sasa hivi siwezi kumpotezea, I hope nature won't take its course akanichoka

UPDATE: plus you never ask a fish how to fish. Kwa maana usiwaulize wanawake how to attract them, ask the fisher man

-callmeGhost
Hahahaaa well said mkuu! Make sure hakuchoki!lol
 
Back
Top Bottom