Ujumbe wa leo

asuuu

Member
Dec 19, 2016
14
23
Usifikiri Watu wote ni Wajinga Hawaelewi Mafumbo.
Jamaa na Mke wake walikuwa bado Wamelala Asubuhi.
Ghafla Mtu akapiga Hodi kwenye mlango.
Mke akaenda kufungua mlango.
Bahati mbaya kumbe ni mpango Wake wa Kando.
MKE: Unataka nini we Mpumbavu?
MUME: Nani huyo una Mtukana?
MKE:Kuna Mtu hapa
Anakichwa kama Nenda urudi Baadae.
Mpango wa kando: Nawewe Pua kama... Poa.
MKE: Miguu kama Masaa
Mawili hivi.
Mpango wa kando: Masikio kama Sitachelewa.
MKE: Ondoka hapa mjinga wewe! Akafunga Mlango.
MUME: Mwambie ana Magoti kama Sitoki leo.
 
Back
Top Bottom