supercharger GT
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,012
- 1,955
Kuna kipindi nilikuwa na girlfriend wangu, akanicheat na jamaa flani. Tukagombana ila nikagundua sababu ni alikuwa ana hamu sana ya kuolewa na mimi nilikuwa bado sijasettle na jamaa alimpanga atamuoa, basi nikabariki kumuachia kiroho safi ingawa niliumia! Kweli akaolewa maisha yakaendelea ila hakuacha kunitafuta e.t.c.
Sasa likizo hii nimekuja kusalimia akasikia nipo, kaanza kunisumbua anasema anataka nimpatie japo mara moja maana tangu aolewe hana raha yoyote zaidi ya ile heshima tu kuwa kaolewa, ila nikicheki mshkaji alivyo sioni kama anayosema huyu mwanamke ni kweli.
Sasa anasumbua hadi imekuwa kero na ubaya mji huu mdogo sana na anajuana na friends wangu wa zamani so hata nikimkwepa bado kuna mtu atamuambia tu nipo mahali gani nakunywa bia e.t.c nashangaa mtu katimba.
Wanawake huwa wanasukumwa na nini kuolewa haraka halafu wanajuta?