Mpagani
Senior Member
- Oct 8, 2016
- 134
- 66
Wasalaam wakuu, kwa heshima na taadhima naomba mwenye uelewa mzuri kuhusu nyota ya simba hususani vitu vifuatavyo kama : mavazi gani yanafaa, uhusiano/mke yupi anafaa, Biashara/Kazi gani inafaa kufanya, tarehe/siku ya Bahati ni IPI, n.k tafadhari sana nitashukuru.....