Mabibi na mabwana, tuanze mwaka vizuri

Beesmom

JF-Expert Member
May 30, 2016
17,221
28,666
Salaam!

Ni ushauri tu,

Kama tunataka mahusiano yetu yaanze vema 2017, tafadhali kwa siye ambao hatujaingia kwenye ndoa tusianze mwaka na kufanya ngono yaani tuiache tar 1/1ipite ndo tulianzishe.

Nasema ivo coz kwa maono yangu naona ni kama laana vile. Kama inawezekana jamani siku iyo tuenjoy na vitu vingine tu, tusifungue mwaka kizinaa.

Nawasilisha.
 
Sasa mm mpenz wangu geti Kali tar 1 ndo anaruhusiwa kutoka sababu ya skukuu halafu nimuache hiv hivi huo utakuwa uzuzuuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom