Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hapabiri za leo wapendwa, Hiki kisa nimekutana nacho kwenye gazeti ndiyo nimeamua kushare na nyinyi leo Beatrice akiwa mtoto wa pekee kwa wazazi wake, wazazi wake walikuwa na maisha ya kati...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari zenu wanawake, Kuna mdau kaanzisha uzi wa tabia zinazowakera wanaume, wakati hata sisi tunazo pia zinazo kera. Wanawake weka tabia inayokukera kwa wanaume. Mimi sipendi mwanaume mmbahili...
22 Reactions
310 Replies
27K Views
Wadau nitajieni njia kadhaa mbaya katili za kumwacha demu wako ambae anakung'ang'ania yani zitakazomfanya asiwe na hamu tena na wewe
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Kuna mtu nilijiapiza kutofanya nae chochote, awali sikuvutiwa na sura yake kabisa, tukapingwa kufanya nae kazi sehemu moja, kila muda tuko nae, ilifika muda akaniomba urafiki kwa sms but...
7 Reactions
71 Replies
8K Views
Mimi nimegundua tabia flani ya wanawake ambayo haijengi inabomoa maisha kwa ujumla. Yaani mwanamke leo hii unampa hela mfano laki 5 labda ya kumlipia ada mdogo wake au baba yake anaumwa. Kesho...
8 Reactions
96 Replies
8K Views
Habarini zenu wana JF, Kwa jina naitwa Langston, nimejitokeza hapa kwa lengo moja tu kubwa la kutafuta ubavu wangu, mi ni mwajiriwa naishi Dar maeneo ya Tabata, umri wangu ni 24 ni mweusi na...
1 Reactions
7 Replies
9K Views
Ukiachialia mbali tatizo la upungufu wa nguvu za kiume ambapo wengi wetu wanashindwa kuwakuna wapenzi wao ipaswavyo hali inayopelekea shida katika mahusiano. Tofauti na hilo kuna tatizo la...
5 Reactions
28 Replies
4K Views
Good day all Hii maada nimeiona sehemu nikaipenda nimeona sio mbaya ku-share hapa! Wewe kama mwanamke au hata kama ni mwanaume unaweza kuishi na mtu ambaye upo naye katika mahusiano na kamwe...
1 Reactions
65 Replies
8K Views
Heshima zenu wakubwa Apa Niko kwa office lakini moja haishiki wala mbili haiendi kumuacha/Kuachana na mtu ikiwa bado unampenda inauma sana asikudanganye mtu. Lakini hakuna namna
13 Reactions
90 Replies
15K Views
Ukiingia kwenye mitandao mingi ya kijamii utagundua watu wengi wenye hulka ya USHOGA na USAGAJI ni kutoka Dar hivi kwa nini jamani au wanapenda sana kuiga mambo kwa nini msiwe na roho ngumu kama...
5 Reactions
28 Replies
5K Views
Habari wajuzi wa mambo wanajukwaa, ama hakika elimu bahari huwezi yote kujua, Binafsi huwa sielewi juu ya jambo hili, Kama Mke au mume ni ndugu au sio ndugu wengine wanasema ni rafiki sio Ndugu...
2 Reactions
30 Replies
5K Views
Habari wadau, Nakumbuka kuna mzee wangu aliniambiaga hili neno, kwenye swala la ndoa zingatia vitu vingi usiwaze mapenzi tu, familia zilizotengana zina changamoto sana hasa kwenye ushauri kwa...
21 Reactions
114 Replies
13K Views
Ukinyoa leo kesho zimeota, Masai wanakula bata na dawa zao, ndevu zao hazioti hivi huwa wanatumia dawa gani wanakuwa hawaoti ndevu? Kwa wale wanaofahamu wamasai wanatumia nini watujuze.
8 Reactions
143 Replies
30K Views
RIWAYA: YATIMA MTUNZI :RAJU NUHADAMU Simu : 0679296836 **SEHEMU YA KWANZA** Mamu alikuwa ni msichana mzuri wa sura,mzuri wa umbo,na pia alikuwa ni mzuri wa tabia. ********************...
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Kwa bahati mbaya hatukubahatika kuoana, alienda kusomea mbali akapitia huko huko akaolewa. Nami muda ulipofika nikaoa. Kila ninapomfikiria au kumwona nahisi mshtuko. Ana watoto 3, nina 2. Mke...
1 Reactions
40 Replies
7K Views
Mhhh mimi hii ishu sikubaliani nayo hata kidogo yani Hivi kwanini wanaume wa "tz" mnajipendekezaga sana kwa wadada wa kihindi,,waharabu na walee wamombo? Alafu sasa huwa mnachunwaaaaa na mwisho...
1 Reactions
135 Replies
38K Views
Heri ya mwaka mpya ndg zangu.!Mimi naitaji rafiki au marafiki wa kushare ideas tofauti za kimaisha.for nina elimu ya chuo kikuu na pia ni muajiriwa ktk taasisi ya kifedha (bank).napenda kuwa na...
3 Reactions
45 Replies
3K Views
Unaamka asubuhi na plan yako nzuri ya kukata weight! Unakunywa maji moto ya limao tena nusu lita. Saa mbili anakuja mwanaume huko na kimfuko chake anakuwekea kwa dawati, miss karibu breakfast...
21 Reactions
294 Replies
31K Views
Ni mwaka 1.5 hivi tangu ex-gf aniache niliumia sana tena aliniacha bila sababu ya maana. Huyu ni GF wangu wa kwanza kabisa aliyenitoa uvulana wangu na mimi BF wake wa kwanza niliyemtoa usichana...
0 Reactions
62 Replies
6K Views
Kwanini vita kwanini talaka kwanini mauaji kwanini kutengana kwanini mafarakano na migogoro isiyo kwisha? Tumesababisha watoto kuwa yatima, watoto kuwa na mzazi mmoja wengine kuamua kutokuoa tena...
0 Reactions
2 Replies
733 Views
Back
Top Bottom