Ni mwaka 1.5 hivi tangu ex-gf aniache niliumia sana tena aliniacha bila sababu ya maana. Huyu ni GF wangu wa kwanza kabisa aliyenitoa uvulana wangu na mimi BF wake wa kwanza niliyemtoa usichana wake (bikra).
Kiukweli tulipendana sana tena sana tulidumu ktk uhusiano kwa miaka 3 lakini baadae akaja kuniachia maumivu makali sana moyoni mpaka sana bado naumia moyoni.
Tatizo kubwa linalonitesa ni mwili wangu kunukia jasho lake na harufu,nikisikia harufu hiyo naanza kuumia sana nazidi kumkumbuka sana kiukweli nateseka sana kila nikitaka kumsahau nashindwa.
Msaada jamani harufu na jasho vinanitesa sana naona ni kama nuksi hivi, nimetumia malimao kujipaka mwili mzima kuondoa harufu lakini imeshindikana.