Nikimwona mpenzi wa zamani roho inashtuka, hii inakuweje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nikimwona mpenzi wa zamani roho inashtuka, hii inakuweje

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by gervase, Nov 19, 2011.

 1. g

  gervase Member

  #1
  Nov 19, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa bahati mbaya hatukubahatika kuoana, alienda kusomea mbali akapitia huko huko akaolewa. Nami muda ulipofika nikaoa. Kila ninapomfikiria au kumwona nahisi mshtuko. Ana watoto 3, nina 2. Mke wangu hatuna tatizo. Hii roho niifunge vipi imsahau huyu mke wa mtu? Hii kitu...hii
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Nov 19, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  You need to get it together playboy.
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Nov 19, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Uliacha kimwili ukausahau moyo huko, hebu kauchukue haraka kabla haujaurudisha na mwili kiwizi wizi.
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Nov 19, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  endelea kushtuka shtuka mpaka mkeo akushtukie, maana unampenda huyo
   
 5. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #5
  Nov 19, 2011
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Bonge la ushauri hilo kaz kichwani mwako........
   
 6. mambo

  mambo JF-Expert Member

  #6
  Nov 19, 2011
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 2,377
  Likes Received: 5,013
  Trophy Points: 280
  Hiyo huwa inatokea sana kwa watu na tena kama mnaonana mara nyingi lazima mtabanjuana siku moja.kama unataka kushinda majaribu keep distance.that's all
   
 7. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #7
  Nov 19, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hamkufunguana mashati.Inabidi usali sana ufunguliwe na Mungu wa mbinguni.
   
 8. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #8
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,936
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280
  Bado unampenda, kaa mbali kaka yasije kukupata makubwa,hiyo chapter yenu ilishafungwa
   
 9. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #9
  Nov 19, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  hapo bado unampenda
   
 10. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #10
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 996
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Hiyo hatariiiiiiiiiii..............
   
 11. Kyaratu

  Kyaratu Member

  #11
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mmmmmmmh pole ila kaa mbali baba
   
 12. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #12
  Nov 19, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,611
  Trophy Points: 280
  Inaelekea bado unampenda...hakuna ubaya roho yako kushtuka ila mshtuko huo ubaki kuwa ni mshtuko tu na usiufanyie kazi :):)
   
 13. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #13
  Nov 19, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Mshtuko waonyesha ya kuwa bado wampenda huyo!!!
   
 14. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #14
  Nov 19, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  usha mwambia hilo? inawezekana na yeye ni hivyo hivyo. mpigie simu umtukane kisha mgombane, mkionana mkasirikiane, kisha no more kushituka ukimuona ila uta fyoza. (kiding!!!!!! Dont do that please)
   
 15. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #15
  Nov 19, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Kwa kuwa wewe ndiye ulikuwa wakwanza hata ukimchapa tena hakuna noma sana.
   
 16. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #16
  Nov 19, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,725
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  umenichekesha kweli mkuu,yaani bonge la ushauri,ila tukija kwenye law hapa jamaa unamtakia kesi ya deformation.
   
 17. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #17
  Nov 19, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,725
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  mbona unatoa ushuri wa kusaliti ndoa?we vipi? Au uzinzi unaokusumbua unataka kila mtu awe kama wewe? Umeshaambiwa wote wako kwenye ndoa,,wameshakula kiapo cha uaminifu mbele ya mwenyezi Mungu. Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
   
 18. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #18
  Nov 19, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Inaonyesha hamkuachana kwa mabaya ni distance tu ndo iliwatenganisha kwaiyo upendo bado upo hapo. Sasa inabidi u keep distance manake tayari wote mko kwenye ndoa. Ikitokea kwa bahati mbaya mkawa karibu na mkadinyana, ni hatari sana sana, kama simba akionja nyama ya binadamu, mwishowe ni lazma auliwe!
   
 19. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #19
  Nov 19, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  Usijali. Hamkuachana kwa ubaya ni circumstances za maisha ndio ziliwafanya msiwe pamoja. Inaonekana bado unampenda. Cha msingi kwa sasa mpende wako ulionae na move on
   
 20. v

  valid statement JF-Expert Member

  #20
  Nov 19, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  mweleze kuwa ukimwona moyo unakushtuka na maini yanatetemeka.
  Halafu mjue mtafanyaje.
   
Loading...